Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alieturoga alishakufa kitambo sana.Nyinyi weusi wa TZ mlirogwa na nani?
Kenya mmechukua tunzoYaani inabidi Muarabu aandike vitabu ili ashinde Nobel Prize. Nyinyi wengine weusi kazi mnayoweza ni kujaza dunia.
Hio Tanzania ni Waarabu wanamiliki kila kitu.[emoji23].Huwa nasema kwamba hawa Waarabu wa Tanzania wanajituma sana. Wana bidii ya mchwa na ni werevu sana. Kuna Mtanzania mwenye asili ya kiarabu aliyeshinda Nobel price in literature. Hawa wabongo wengine weusi wapiga ramli endeleeni kuzubaa tu.
BILA SHAKA AKIWA TURKANA AHAHAHAHAHA BAADA YA KUNUSURIKA KIFO CHA NJAAMtoa mada unaumia ukiwa wapi hapo Kenya
FactBILA SHAKA AKIWA TURKANA AHAHAHAHAHA BAADA YA KUNUSURIKA KIFO CHA NJAA
Rekebisha sio naongea naandika we Mkenya vipi njaa imekuvuluga huko TukranaNaona unaongea matope lakini picha yako iko sawa, wewe ni mrembo.
Wivu tuu umewajaa Wakenya.Huyo ni raia wa Uingereza Msemaji wa Serikali umedanganya; tuzo ya Nobel haijaenda kwa Raia wa Tanzania
Wewe mwenyewe mmatumbi mwenzetu.
Kwani ni Price au ni Prize?