Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
You are very stupid person, mtu awe mwarabu, awe mzungu, mmasai, msukuma kama anajulikana ni mtanzqnia basi itoshe kusema Mtanzania,
Msamehe huyo kwani hajui asemalo kwasababu huko kwao Ukabila umewatafuna --- anasumbuliwa na stereotype ya ukabila.--- ukabila ni ugonjwa.