Mtanzania mwenye asili ya Kiarabu ameshinda Nobel Price in Literature

Huwa nasema kwamba hawa Waarabu wa Tanzania wanajituma sana. Wana bidii ya mchwa na ni werevu sana. Kuna Mtanzania mwenye asili ya kiarabu aliyeshinda Nobel price in literature. Hawa wabongo wengine weusi wapiga ramli endeleeni kuzubaa tu.
We jamaa kwetu hatunaga mtaanzania mwenye asili ya kiarabu wala kijaluo wote ni watanzania Tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwa nasema kwamba hawa Waarabu wa Tanzania wanajituma sana. Wana bidii ya mchwa na ni werevu sana. Kuna Mtanzania mwenye asili ya kiarabu aliyeshinda Nobel price in literature. Hawa wabongo wengine weusi wapiga ramli endeleeni kuzubaa tu.
Ushaleta ushamba wa kikenya hakuna Mtanzania wa kiarabu au mweusi Mtanzania ni Mtanzania tu.hiyo stage ya kutambulishana Kwa ukabila Sisi Watanzania tumeshapita.Ndo maana mchaga anaweza kumuoa mpare.
 
Siyo, Nobel PRICE ni Nobel PRIZE.
 
Huwa nasema kwamba hawa Waarabu wa Tanzania wanajituma sana. Wana bidii ya mchwa na ni werevu sana. Kuna Mtanzania mwenye asili ya kiarabu aliyeshinda Nobel price in literature. Hawa wabongo wengine weusi wapiga ramli endeleeni kuzubaa tu.

Kenge una gubu wewe.
Guberi wa fikra mburukenge wewe
 
Ushaleta ushamba wa kikenya hakuna Mtanzania wa kiarabu au mweusi Mtanzania ni Mtanzania tu.hiyo stage ya kutambulishana Kwa ukabila Sisi Watanzania tumeshapita.Ndo maana mchaga anaweza kumuoa mpare.

Kila binadamu ana asili yake, sio wote watumwa kama nyie hapo mliotelekeza asili zenu unakuta mbaba kabisa ameota mvi kichwni lakini hajui lugha yake ya asili hata salamu, inapaswa ufahamu kabla mkoloni hajaja na kuchora mipaka na kuwakusanya mababu zenu ili waitwe Watanganyika, hapo awali kila mmoja alikua anaishi kwa kuzingatia mila na desturi za asili yake, nyie Wasukuma mlitokea kule mapori ya Congo mlikokua mnatafuna ngendere huko.

Huyu Mwarabu aliyeshinda tuzo ni raia wa Uingereza, poleni.....nyie huwa wazembe vitu kama hivi haviwahusu, mnajua tu vigodoro na kuzaliana...hehehehe
 
Hujitambui
 
Dah! Watu hadi wanafika post #30 ni full kubishana tu!

Kwani Prof. Gurnah mwenyewe anasemaje!...
 
Huwa nasema kwamba hawa Waarabu wa Tanzania wanajituma sana. Wana bidii ya mchwa na ni werevu sana. Kuna Mtanzania mwenye asili ya kiarabu aliyeshinda Nobel price in literature. Hawa wabongo wengine weusi wapiga ramli endeleeni kuzubaa tu.

Huyu ni
Mwingereza mwenye asili ya kizanzibari. Walifukuzwa Kwa vita kali Kwa kua waarabu (ubaguzi) miaka ya 1950s. Hakukua Tanzania wakati ule!
 
Kuna yule Mjaluo kutoka Uganda ndiye aliyekuja kuchochea chuki kwa Watanzania weusi wakati ule ili wawafurushe Waarabu. Sijui huyo Mganda alikuwa anaitwa nani?
 
Yaani inabidi Muarabu aandike vitabu ili ashinde Nobel Prize. Nyinyi wengine weusi kazi mnayoweza ni kujaza dunia.
Ndiyo tulivyo weusi wote tusichekane.
Sisi tuko driven kufanya kazi na kutafuta mafanikio for prosperity ya familia zetu. Tumeishia hapo.
 
Huwa nasema kwamba hawa Waarabu wa Tanzania wanajituma sana. Wana bidii ya mchwa na ni werevu sana. Kuna Mtanzania mwenye asili ya kiarabu aliyeshinda Nobel price in literature. Hawa wabongo wengine weusi wapiga ramli endeleeni kuzubaa tu.
Ni muingereza mwenye asili ya kiarabu
 
Huwa nasema kwamba hawa Waarabu wa Tanzania wanajituma sana. Wana bidii ya mchwa na ni werevu sana. Kuna Mtanzania mwenye asili ya kiarabu aliyeshinda Nobel price in literature. Hawa wabongo wengine weusi wapiga ramli endeleeni kuzubaa tu.

You are very stupid person, mtu awe mwarabu, awe mzungu, mmasai, msukuma kama anajulikana ni mtanzqnia basi itoshe kusema Mtanzania,
 
Kila binadamu ana asili yake, sio wote watumwa kama nyie hapo mliotelekeza asili zenu unakuta mbaba kabisa ameota mvi kichwni lakini hajui lugha yake ya asili hata salamu, inapaswa ufahamu kabla mkoloni hajaja na kuchora mipaka na kuwakusanya mababu zenu ili waitwe Watanganyika, hapo awali kila mmoja alikua anaishi kwa kuzingatia mila na desturi za asili yake, nyie Wasukuma mlitokea kule mapori ya Congo mlikokua mnatafuna ngendere huko.

Huyu Mwarabu aliyeshinda tuzo ni raia wa Uingereza, poleni.....nyie huwa wazembe vitu kama hivi haviwahusu, mnajua tu vigodoro na kuzaliana...hehehehe
Nyie wakikuyu mlitokea wapi?

Aliyekudanganya Tanzania hawazungumzi lugha za asili nani?
 
Back
Top Bottom