Mtanzania mwenye matatizo ya akili kurejeshwa nchini toka Afrika ya Kusini

Yes. Yani hamna kitu hizi balozi zetu zinafanya. Hapo unakuta wameshauza travel document Ile ya temporary na kutaka mgonjwa apelekewe ili wapate picha ya pamoja ya kudanganyia watu Tanzania
Kuna mwaka Mtanzania alifariki Watu wakachangishana wakaenda kufata documents za kusafirisha Maiti wao wakafunga ofisi watu wanawaambia waende J3 walikua wapo busy na sherehe yao kilichotokea kwenye sherehe hawaji kusahau...hao jamaa hawana msaada wowote kwa Watanzania waishio SA.
 
Kwa uzoefu wangu wa ubalozi wa Tz nikiwa nje kwa asilimia kubwa hiyo pesa hawajatowa wao msaada wao ni wa kidplomasia kupata docs za kusafiria, huo ubalonzi hawana fungu la kusaidia watanzania kwa pesa.....
Mkuu wapi Ubalozi wametoa wao pesa?
 
Kuna mwaka Mtanzania alifariki Watu wakachangishana wakaenda kufata documents za kusafirisha Maiti wao wakafunga ofisi watu wanawaambia waende J3 walikua wapo busy na sherehe yao kilichotokea kwenye sherehe hawaji kusahau...hao jamaa hawana msaada wowote kwa Watanzania waishio SA.
Wapuuzi sana. Mi huwa naona watu pekee wanaosifia hizi balozi ni wale ambao hawajawahi kutoka nje ya bongo.
Ubalozi walitakiwa wajifunze baada ya hilo tukio 😆😆
 
Chama cha watanzania waishio Africa kusini (mabaharia) ndio wanastahili hizi pongezi. Wao ndio waliomuibua huyo ndugu, waliochanga fedha mpaka kufanikisha zoezi hilo kukamilika. Na sio huyo tu wameshasaidia wengi wenye uhitaji
Pongezi huenda kwa kila aliyetoa mchango wake ili kufanikisha jambo fulani,mchango unaweza kua pia hata wa kimawazo tu,

Mfano utampongeza Maxence Melo kwa kuanzisha hii JF ila pia ni lazima utawapongeza member wote wa JF ambao ndio wanafanya hii platform kua hivi ilivyo leo,

ndio maana utasikia "Tunatoa shukrani kwa wote waliotoa mchango wao wa hali na mali"
 
Mkuu naona umeamua kuwapambania mpaka kwa mifano ambavyo wala halihusiani. Usikute nachat na balozi mwenyewe hapa 😆😆😆
 
Duh!kaanza hili tatizo lini?je ni madawa au mahangaiko tu ya kimaisha?
Nadhani itakua mahangaiko ya kimaisha alikua Smart sana nadhani ndio maana watu wanaomfahamu wamefanya hivyo SA kitambo ilikua rahisi kwa Watanzania kufahamiana kwa sababu baada ya mihangaiko tulikua tunakutana eneo moja usiku kama Pretoria Sunny side huko Cape Town Golden Acre na Kwazulu Natal pana mtaa pia Watanzania wanakutana jioni ila kwa sasa hivi imekua tofauti ni mpaka matatizo yatokee watu wanaitana sehemu moja kwa ajili ya kuchangishana tu...
 
Wapuuzi sana. Mi huwa naona watu pekee wanaosifia hizi balozi ni wale ambao hawajawahi kutoka nje ya bongo.
Ubalozi walitakiwa wajifunze baada ya hilo tukio 😆😆
Balozi yenye nguvu kwa Raia wake ni Nigeria aisee jamaa wanakua kama wapo nyumbani kwao pale..
 
Nadhani itakua mahangaiko ya kimaisha alikua Smart sana nadhani ndio maana watu wanaomfahamu wamefanya hivyo SA kitambo ilikua rahisi kwa Watanzania kufahamiana kwa sababu baada ya mihangaiko tulikua tunakutana eneo moja usiku kama Pretoria Sunny side huko Cape Town Golden Acre na Kwazulu Natal pana mtaa pia Watanzania wanakutana jioni ila kwa sasa hivi imekua tofauti ni mpaka matatizo yatokee watu wanaitana sehemu moja kwa ajili ya kuchangishana tu...
dah !inawezekana mambo ya depression etc
 
Kuna mwaka Mtanzania alifariki Watu wakachangishana wakaenda kufata documents za kusafirisha Maiti wao wakafunga ofisi watu wanawaambia waende J3 walikua wapo busy na sherehe yao kilichotokea kwenye sherehe hawaji kusahau...hao jamaa hawana msaada wowote kwa Watanzania waishio SA.
Mka mfanya mama wa watu ajutie teuzi
 
Back
Top Bottom