Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

amejaribu... hiyo ni ajari kazini, mimi kijana na mikaptura yangu mikubwa mikubwa sina lolote... nina kazi ya kuiLaumu serikali wakati pesa zipo wazee wanahangaika usiku na mchana kuzichukua....!

Mungu amfanyie wepesi...!​
 
Kwa hiyo mzigo ukigoma kutoka wenyewe watamfanyia operation?
 
Daah alichofanya akamatwe ni Nchi aliyotoka ndio maana Polisi wa ET wakaanza kumchunguza mizigo ila inasikitisha sana kwa kweli kwa umri huo bado kutaka kuendelea kuua vijana ili apate fedha aisee hapo ni kama kakamatwa Rwanda ataenda jela..
Na jela za ethiopia ni ngumu kweli kweli

Ova
 
Kazi za watu wa Pwani, wavivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…