Mtanzania mwingine aliyeenda kufanya kazi akutwa amefariki Oman. Familia yaomba Ubalozi wa Tanzania ufuatilie

Tumeshapiga sana kelele huko mnaenda utumwani, Uende kufanya kazi kwa mwarabu nchini kwake halafu kazi za ndani, aiseee !!
 
Omani ni ndugu wa Samia lakini Bado wanatutesea watu wetu
 
Hili halishangazi kwa Waarabu Waislam, hapo watakuwa wamemtesa sana kabla ya kumuua

Waislam wa Magomeni mapipa na kwa Bibi mfuga mbwa watawatetea Waarabu

Astakhafirullah
 
sasa kuna tatizo gani suala la kufariki? mbona tukio la kawaida tu watu wengi wanafariki ugenini
 
Waarabu hawana shida yoyote ila sisi wamatumbi tuna shida kubwa kiakili.
Hebu acha utani wewe. Mwarabu anamwona mtu mweusi ni kama mnyama. Nimeshaongea na kusikiliza story za wasichana wengi walioenda huko. 1. Wengi wanalisha wafanyakazi makombo 2. Kazi wanapumzika masaa machache sana. 2. Wananyanyaswa kingono 3.......yapo mengi.
 
Kila siku nawaambia waarabu ni mashetani katika mwili wa kibinadamu. Hayo maeneo nimekaa sana bora hata hawa wa Oman wengine ni balaa. Na sio kwa waafrika tu hata waarabu wakienda huko kufanya the same jobu tusema kutoka misri au sudan wanapitia the same story
 
Waafrika walioenda kama watumwa kipindi hicho walihasiwa wasizaliane.
 
Lakini wale waliowaletea Ile Dini so ndio hao wanaodai maiti hatakiwi kukaa siku nzima hajazikwa? Iweje wao huko jikoni kabisa mwa Dini hii wanakubali maiti Tena ya Dini Yao kukaa mortuary mawiki? Kama una akili chukua hatua.

Hata kama Kuna shida kuhusiana na umbali na ndugu au sababu za kifo, nchi yenyewe Dini hiyo kama Dini rasmi wangeverify Kila kitu na kuhakikisha anazikwa mapema. Inachanganya.
 

View: https://x.com/Shariakill/status/1892137880845222128
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…