Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waarabu ni very stupid,kama walimuua Kwa nn bas walishndwa kupeleka mwili mochwari walau??Waarabu hawana shida yoyote ila sisi wamatumbi tuna shida kubwa kiakili.
Waarabu wasenge san
Waarabu ni very stupid,kama walimuua Kwa nn bas walishndwa kupeleka mwili mochwari walau??
Ingelikua mtafutaji na mpambanaji akifa wenzake wanakata tamaa tusingekua naNa bado watu wanapambania kwenda!!
Ndoto yake ilikua kuwa air hostess!!!Kupambania ndoto ?
Hebu acha utani wewe. Mwarabu anamwona mtu mweusi ni kama mnyama. Nimeshaongea na kusikiliza story za wasichana wengi walioenda huko. 1. Wengi wanalisha wafanyakazi makombo 2. Kazi wanapumzika masaa machache sana. 2. Wananyanyaswa kingono 3.......yapo mengi.Waarabu hawana shida yoyote ila sisi wamatumbi tuna shida kubwa kiakili.
Kila siku nawaambia waarabu ni mashetani katika mwili wa kibinadamu. Hayo maeneo nimekaa sana bora hata hawa wa Oman wengine ni balaa. Na sio kwa waafrika tu hata waarabu wakienda huko kufanya the same jobu tusema kutoka misri au sudan wanapitia the same storyWakuu,
Mtanzania Asha Makame Ally, aliyeelekea nchini Oman kupambania ndoto zake, amepatikana akiwa amefariki dunia nchini humo, ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi, huku mwili wake ukigundulika siku nne baada ya kifo chake.
Mwili wa Asha upo hospitalini nchini humo, lakini kuna changamoto kubwa katika kuruhusu mwili huo kuzikwa.
Kwa mujibu wa kaka yake, Rajabu Makame Ally, ametoa ushauri kwa Watanzania wengine wenye mpango wa kwenda nje ya nchi kuhakikisha wanafuata utaratibu, kupata vibali, na kufanya kazi walizoziendea.
Rajabu ameongeza kwa kuiomba serikali na balozi za Tanzania nchini Oman kufuatilia suala la mdogo wake, ili aweze kuzikwa nchini humo kutokana na hali ya mwili wake kuharibika.
Asha ni mzaliwa wa Jang'ombe visiwani Zanzibar.
View attachment 3241032
Waafrika walioenda kama watumwa kipindi hicho walihasiwa wasizaliane.Wakuu,
Mtanzania Asha Makame Ally, aliyeelekea nchini Oman kupambania ndoto zake, amepatikana akiwa amefariki dunia nchini humo, ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi, huku mwili wake ukigundulika siku nne baada ya kifo chake.
Mwili wa Asha upo hospitalini nchini humo, lakini kuna changamoto kubwa katika kuruhusu mwili huo kuzikwa.
Kwa mujibu wa kaka yake, Rajabu Makame Ally, ametoa ushauri kwa Watanzania wengine wenye mpango wa kwenda nje ya nchi kuhakikisha wanafuata utaratibu, kupata vibali, na kufanya kazi walizoziendea.
Rajabu ameongeza kwa kuiomba serikali na balozi za Tanzania nchini Oman kufuatilia suala la mdogo wake, ili aweze kuzikwa nchini humo kutokana na hali ya mwili wake kuharibika.
Asha ni mzaliwa wa Jang'ombe visiwani Zanzibar.
Wakuu,