mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
Sikupingi🤨🤨Waarabu wasenge sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikupingi🤨🤨Waarabu wasenge sana
Hapa ndipo najiulizaga sana 😢Ndugu zetu kabisa hawa katika imaan! Lakini linapokuja suala la kuchangamana, nao hawatuchukulii kabisa kama ndugu zao.
Unamkumbuka salman rushdie na kitabu chake cha satanic verse?Waarabu ni mashetani
Kwa mzanzibari watakubaliRajabu ameongeza kwa kuiomba serikali na balozi za Tanzania nchini Oman kufuatilia suala la mdogo wake, ili aweze kuzikwa nchini humo kutokana na hali ya mwili wake kuharibika.
Asha ni mzaliwa wa Jang'ombe visiwani Zanzibar.
♥️OkayMy mom i told you mapema..
Staki niskie unaenda dubai....
Dogo kwa kuwa una damu ya kiarabu?Waarabu hawana shida yoyote ila sisi wamatumbi tuna shida kubwa kiakili.
No your not slave and your not 3rd class ,your foreign worker and your paid to provide service professionally if you cannot don't comeKuna jamii Mwafrika bado ni mtumwa kwao.
Waarabu ni moja ya jamii ambayo mtu mweusi kwao ni mtumwa tena ukiwa mfanyakazi wao wa ndani ndio hatari zaidi.
Mwafrica inapaswa sasa aamke awe mbinafsi na kuacha huu ujinga wa kuendekeza hawa wajinga wakiwa huku Africa, viongozi wetu wako busy kushirikiana na hawa watu kutafuna rasirimali zetu ilihali hawa watu wanatuchukulia sisi watumwa.
Uarabuni uwe na vibali usiwe na vibali, uwe umefuata utaratibu au hujafuata kuwa huko, wewe kwao ni mtumwa mweusi aka 3rd class slave, tunapaswa kuamka na kujua hakuna undugu wala Urafiki wa mtu mweusi na muarabu/Mhindi/Mzungu/ wala Mchina, mwafrica rafiki yake na ndugu yake ni mwafrica mwenzie, WaAfrica tunapaswa kupendana na kujali na kuyajenga mataifa yetu.
Acha ukorofi basi.Proud tobe a Muslim.
Ukuje sasa... 😋😋😋♥️Okay
I'll come for you hunnie♥️🥰Ukuje sasa... 😋😋😋