Mtanzania mwingine aliyeenda kufanya kazi akutwa amefariki Oman. Familia yaomba Ubalozi wa Tanzania ufuatilie

Kuna jamii Mwafrika bado ni mtumwa kwao.
Waarabu ni moja ya jamii ambayo mtu mweusi kwao ni mtumwa tena ukiwa mfanyakazi wao wa ndani ndio hatari zaidi.

Mwafrica inapaswa sasa aamke awe mbinafsi na kuacha huu ujinga wa kuendekeza hawa wajinga wakiwa huku Africa, viongozi wetu wako busy kushirikiana na hawa watu kutafuna rasirimali zetu ilihali hawa watu wanatuchukulia sisi watumwa.

Uarabuni uwe na vibali usiwe na vibali, uwe umefuata utaratibu au hujafuata kuwa huko, wewe kwao ni mtumwa mweusi aka 3rd class slave, tunapaswa kuamka na kujua hakuna undugu wala Urafiki wa mtu mweusi na muarabu/Mhindi/Mzungu/ wala Mchina, mwafrica rafiki yake na ndugu yake ni mwafrica mwenzie, WaAfrica tunapaswa kupendana na kujali na kuyajenga mataifa yetu.
 
Rajabu ameongeza kwa kuiomba serikali na balozi za Tanzania nchini Oman kufuatilia suala la mdogo wake, ili aweze kuzikwa nchini humo kutokana na hali ya mwili wake kuharibika.

Asha ni mzaliwa wa Jang'ombe visiwani Zanzibar.
Kwa mzanzibari watakubali
 
Kuna jamii Mwafrika bado ni mtumwa kwao.
Waarabu ni moja ya jamii ambayo mtu mweusi kwao ni mtumwa tena ukiwa mfanyakazi wao wa ndani ndio hatari zaidi.

Mwafrica inapaswa sasa aamke awe mbinafsi na kuacha huu ujinga wa kuendekeza hawa wajinga wakiwa huku Africa, viongozi wetu wako busy kushirikiana na hawa watu kutafuna rasirimali zetu ilihali hawa watu wanatuchukulia sisi watumwa.

Uarabuni uwe na vibali usiwe na vibali, uwe umefuata utaratibu au hujafuata kuwa huko, wewe kwao ni mtumwa mweusi aka 3rd class slave, tunapaswa kuamka na kujua hakuna undugu wala Urafiki wa mtu mweusi na muarabu/Mhindi/Mzungu/ wala Mchina, mwafrica rafiki yake na ndugu yake ni mwafrica mwenzie, WaAfrica tunapaswa kupendana na kujali na kuyajenga mataifa yetu.
No your not slave and your not 3rd class ,your foreign worker and your paid to provide service professionally if you cannot don't come
Kabla hujaanza kutusema sikiliza global tv utaelewa kitu gani kimatokea
 
Waarabu huko uarabuni wana wafir💩 na kuwatendea matendo ya kinyama sana dada zenu nyie endeleeni kuwapeleka...
Unaacha kwenda ulaya unaenda uarabuni unadanganywa na viongozi wako wa dini wenye njaa ya elfu50 ya udalali
 
Back
Top Bottom