Mtanzania Naima Omary anashikiliwa na polisi Uganda kufuatia kifo cha Mchezaji wa Nigeria Abubakar Lawal

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Jeshi la Polisi nchini Uganda linamshikilia Mtanzania Naima Omary kufuatia kifo cha Mchezaji soka wa Kimataifa wa Nigeria Abubakar Lawal (39) aliyekuwa anaichezea Vipers SC ya Uganda.

Naima anashikiliwa kwa uchunguzi kwakuwa alikuwa Mtu wa mwisho kukutana na Lawal February 24,2025 kabla ya kufariki kwa utata kutokana na kuwa na taarifa mbili tofauti kuhusiana na kifo chake, taarifa ya kwanza ilisema amepata ajali ya bodaboda lakini taarifa ya Polisi imeeleza kuwa amedondoka kutoka kwenye barcony ghorofani alipokuwa amekwenda Voice Mall maeneo ya Bwebajja, barabara ya kuelekea Entebbe kuonana na Naima.

1740569684012.png
Lawal inaelezwa alifika Voice Mall akiwa na gari yake yenye namba za usajili UBQ 695G na kwenda kukutana na Naima aliyekuwa anaishi hapo toka February 20, 2025 chumba namba 416 ambapo inaelezwa Naima alimuacha Lawal chumbani akiandaa chai.

Screenshot 2025-02-26 144045.png
Naima yupo nchini Uganda kwa ufadhili maalum (Scholarship) kwa ajili ya kuendeleza kipaji chake kucheza Basketball katika Chuo cha St Marry’s nchini Uganda.

Source: Millard Ayo
 
View attachment 3250323
Lawal inaelezwa alifika Voice Mall akiwa na gari yake yenye namba za usajili UBQ 695G na kwenda kukutana na Naima aliyekuwa anaishi hapo toka February 20, 2025 chumba namba 416 ambapo inaelezwa Naima alimuacha Lawal chumbani akiandaa chai.
View attachment 3250329
Naima yupo nchini Uganda kwa ufadhili maalum (Scholarship) kwa ajili ya kuendeleza kipaji chake kucheza Basketball katika Chuo cha St Marry’s nchini Uganda.

Source: Millard Ayo
Akili zetu watanzania ni ngono sasa Naima huko hotelini ndo anako jifunzia mpira wa basket ball au Umalaya mtupu?
 
Kuna hii habari kuwa jeshi la police Uganda limemkamata naima omary (mke wa SAMATA)

Wajuvi njooni mjazie nyama katika hili
 
  • Author,Basillioh Rukanga
  • Role,BBC News
  • 25 February 2025
Police in Uganda are investigating the death of a Nigerian professional footballer who allegedly fell from a shopping mall in the capital, Kampala.
Abubakar Lawal, 29, reportedly fell from a third-floor balcony at the Voicemall Shopping Arcade, where he had gone to visit a Tanzanian friend. He was taken to hospital where he was pronounced dead, the police said.
They said Lawal's friend, identified as Naima Omarry had left him in her room - which is part of the mall building - preparing tea before the incident happened.
Lawal was a striker playing for local team Vipers Sports Club, which has expressed its sadness for the "untimely passing of our beloved player".
 
Habari robo jazia jazia hata Kama ni umbeya
 
KATAA NDOA wanaondoka na points zao.
 
Preliminary reports indicate that Lawal arrived at the shopping mall in his vehicle, registration number UBQ 695G, to meet his friend,Naima Omary a Tanzanian national residing in room 416 since February 20, 2025,” Uganda Police said in a statement on Monday.

“According to Naima, she left Lawal in the room preparing tea and proceeded to a game centre within the mall. Shortly after, at approximately 8:00 AM, Lawal reportedly fell from the balcony. He was rushed to Entebbe Referral Hospital, where he was pronounced dead.”
 
Back
Top Bottom