Mtanzania njoo uchukue ujuzi ukapige pesa

Mtanzania njoo uchukue ujuzi ukapige pesa

5H-IWM

Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
17
Reaction score
21
Nimeleta fursa hii kwenu watanzania wenzangu lengo ni kuona ni jinsi gani tunaweza kujikwamua kiuchumi.

Idea hii hakika akuna mtu atajutia,so watanzania wengi awatambui kwamba kunapesa nyingi sana kwa sasa kupitia mfumo wa teknolijia..

Kwakutambua hilo nimekuja na huu mfumo ambao kila mtu atanufaika hilimradi tuh una smartphone bac unaweza kupiga pesa bila kuasili shughuli zako za kila siku .

Nina telegram group ambapo utajoin katka hill group then kila member atatakiwa kufungua YouTube channel yake ambapo ataruhusiwa kutuma Link yako ktka hyo telegram group then kila member atatakiwa kusubscribe then utakapo fikisha subscriber 1K yaan 1000 na watching hours 4000 tayari kwa kuanza kulipwa.
ambapo mifumo yote tutaelekezana kule telegram group..
Ukiwa interested na hii project utanichek whasp 0767603688 then ntakutumia link ya telegram tayar kwa kutengeneza pesa bila Ku interfere shughuli zako za kila siku.

Na kuna topic ambazo tutakua tukifundishana ...
NINI MAANA YA GOOGLE ADSENSE

Mimi ni mtumiaji wa google adsense kwa kipindi cha miaka 4 iliyopita
au zaidi , kupitia adsense nimeweza kupata kipato cha kuendesha maisha
yangu kwa njia mbalimbali , kama ujenzi wa nyumba na uendeshaji wa
biashara nyingine kupitia kipato hicho tu .

Watu wengi wanapenda kujiunga na adsense na wengine walijiunga
wakakata tamaa au hata wengine akaunti zao kufungiwa kutokana na
kukiuka masharti kadhaa ya google adsense , mimi mwenyewe nilifungiwa
mara 3 hivi na nilipoteza zaidi ya milioni 4 za kitanzania . ni pesa ambayo ilikua nilipwe lakini baada ya kukosea mashart utaniulza mashrt hayo ni yap.

1.pale una copy video za watu au kazi ya mtu na Ku upload kwako tayar unakua umefanya kosa kubwa kiufundi.

2.pale unapo weka maudhui yanalo leta mgongano ktk jamii.mfano uchochez na magomvi

3.unapoweka video zisizo na maadili ktk jamii ..picha chafu na kazalika.

Hili ni somo fupi kwa wale wanaopenda kujiunga na adsense au ambao
wameshajiunga lakini wanataka kupata faida zaidi .

Google Adsense ni nini ?
Google adsense ni mfumo wa matangazo wa Google ambao unamwezesha mtu
kitangaza bidhaa zake kwa kipato alichotacho na kumwezesha mwenye
tovuti au blogu youtube kufaidika kutokana na matangazo ya adsense kuonekana
kwenye blogu yake au tovuti yake .

Kwa lugha rahisi tunaweza kuita ppc Pay Per Click , Lipa kwa Click au
mguso mmoja kwenye tangazo husika , mimi mwenye blogu hela utakuja
kwangu kama mtu aligusa au gonga tangazo alilioona kwenye blogu yangu
na yule aliyetangaza bidhaa zake kwenye google hela ndio inakatwa
kutokana na click hiyo

Unajiungaje na Adsense ?

Adsense ni mali ya Google ni lazima au vizuri uwe na barua pepe ya
gmail ambayo ni ya google au nyingine ambayo itakuwezesha kuweza
kusajili adsense kwa urahisi lakini ni vizuri iwe imesajiliwa google .

Usajili unakuwaje ?


Unaposajili unapewa CODE maalumu ambazo unaweza kuweka kwenye kurasa
za tovuti au blogu yako kwa ajili ya kuanza kuonyesha matangazo
mbalimbali .

Nikisema lugha nina maanisha utumie lugha zinazokubalika na adsense
kama kiingereza , kifaransa na nyingine za kimataifa Kiswahili
hakitakiwi labda uchanganye ,kama blogu au tovuti yako ina picha chafu
haitakiwi , rangi zake ziwe nzuri zisiingilie maslahi ya matangazo ya
adsense na angalia milki ya vile unavyoweka .

Unalipwaje ?

Inategemea umechagua mfumo gani wa kulipwa , kuna mifumo 3 hivi
inayojulikana zaidi .

a) Cheki – njia hii ilikuwa inatumika zaidi zamani hata sasa hivi kwa
baadhi ya nchi na wale wanaopenda , kwa wale wa afrika inachukuwa siku
7 kupata cheki yako hapo utakatwa euro 17 kwa ajili ya kusafirisha
cheki hiyo ,halafu unatakiwa kuingiza cheki kwenye akaunti yako ya
benki ambapo inachukuwa siku 21 kulipwa au zaidi ya hapo – benki
nyingine hazikubali cheki hizi kwahiyo wanaweza kukataa , kama
ikikubali benki itakata hela ya kuprocess cheki .

b) Uhamisho wa Benki – Njia hii pia ni nzuri lakini kuna hela Fulani
unakatwa kwa ajili ya kuhamisha hela kutoka nchi moja kwenda nyingine
kwa njia ya benki na sio benki zote zenye huduma hii na inategemeana
na kiwango cha hela inayotumwa kama ni ndogo sana inaweza kuwa tabu
kidogo .

c) Western union – Hii ndio bora na ya haraka zaidi mara nyingi
inalipwa kila mwisho wa mwezi unaofuatia kama ulipata dola 600 mwezi
wa 3 utalipwa mwezi wa 4 mwishoni.
 
mbna jamaa mwenyew unatuma sms kachuna tu.....
 
Back
Top Bottom