Mtanzania njoo uchukue ujuzi ukapige pesa

Member bado wanaitajika wakutosha join now usipitwe na hii fulsa ...
 
Nadhani jambo la msingi kabla ya kuwa na YouTube account, ni kuandaa content za kuweka hapo. YouTube ni platform kama soko, unahitaji bidhaa za kuuza utengeneze faida.
 
Vipi mkono wa TCRA unaukwepaje?.
Let m tell something wabongo weng wanauelewa mdogo sana juu ya maswala ya mtandao have been doing this almost more than 4 years..iko hivi watu wa Google na TCRA no connections .

chombo cha TCRA belong to Tanzania so wao wanacho itaji wanakupa mda uweze Ku register channel ako ambao ghalama n laki 5 kwa mwaka ..lakin ni baada ya kukupa mda ww wa kujipanga.

then ugomvi mkubwa na TCRA ni maudhui unayoweka kwenye hyo channel yako!
Nimeeleza pale juu kua nilifungiwa zaid ya mala kazaa kwasabab ya vitu kama hvyo...na mpaka umetiwa mkononi umekamatwa ni kwamba ww umeripot either taharifa ya uongo ama umepost ngono...
 
Vipi mkuuu,kama haupost habari za Tanzania, hao TCRA wanaweza kukutambua?.
 
Wanakutambua mkuu technology is another thing bro...

wao wanazimonitor whatever you're kama ni blog,website, you tube..

wanachek Kikanda wanapo Fanya ukaguzi thus way kila mkoa wako na ofisi zao..may be you wants to register radio,television station u meet with them bro..
 
Back
Top Bottom