Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Hapa tunapiga Ela , achana na habari za Tundu LissuKura yangu kwa Tundu Lissu
bado unablog?Vizuri
Nina mpango wa kurudi adsense yangu ilichukuliwabado unablog?
vipi mkuu unapiga na wewe hii ishu?Unatumia adsense au?bado unablog?
Bado, mkuu.vipi mkuu unapiga na wewe hii ishu?Unatumia adsense au?
baada ya kuwa na page fb, unai monetize vp?Sikuhiz hata facebook wanalipa kikubwa uwe na page tu