johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahahaha.......alistaafuNa aliisha ondolewa pale ardhi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha.......alistaafuNa aliisha ondolewa pale ardhi...
Swet-R, kuna sheria ya mirathi unayoifahamu inayokataza? Katika urithi wa Mzee wangu,mwakilishi wangu alisimama mahakamani katika kugawa mirathi ya Mzee wangu, nilitambulishwa niko nje na ni raia wa Marekani, nilipata changu,sio mimi na ndugu zangu ambao ni raia wa nchi nyingine.Hawezi kurithi kitu chochote Tanzania. Ksbb huyo sio raia wa Tanzania.
Na kwa kauli za msimamizi wa mirathi tuliweza badili hati.Swet-R, kuna sheria ya mirathi unayoifahamu inayokataza? Katika urithi wa Mzee wangu,mwakilishi wangu alisimama mahakamani katika kugawa mirathi ya Mzee wangu, nilitambulishwa niko nje na ni raia wa Marekani, nilipata changu,sio mimi na ndugu zangu ambao ni raia wa nchi nyingine.
Sasa mbona Membe amegombea mpaka Urais? Si Mcanada huyu?Hawezi kurithi kitu chochote Tanzania. Ksbb huyo sio raia wa Tanzania.
Na wao waache shobo, kuna classmate wangu ana miaka 22 USA, ameshapata uraia anatumia American passport, kuna likizo alikuja tukaenda Zanzibar, ile hotel tuliyofikia yeye akajitambulisha ni Mmarekani na akawapa passport.Hili jambo inabidi liangaliwe kwa makini. Bado tunawapenda ndugu zetu walioko ughaibuni
Pamoja na shobo zao bado ni ndugu zetu si ndiyo mkuu?Na wao waache shobo, kuna classmate wangu ana miaka 22 USA, ameshapata uraia anatumia American passport, kuna likizo alikuja tukaenda Zanzibar, ile hotel tuliyofikia yeye akajitambulisha ni Mmarekani na akawapa passport.
Unajuwa kilichotokea? Siku tunacheck out bill yake ilikuwa kubwa sana kuliko yangu, mimi nilihudumiwa kwa bei za citizen na yeye alihudumiwa kama foreigner wakati jitu limesoma Tambaza.
Kilichompoza ni sifa za kijinga tu kwamba pale hotelini atambulike kama Mmarekani.
Yani ilibidi tusubili mpaka awasiliane na mke wake Marekani ampe access ya pesa kwenye joint account yao.
Wahindi kibao tu wana passport za Canada na Tanzania na hawana shobo.
Sawa yaweza kuwa nimekosea mkuu. Ukweli ni upi?Umepotosha mkuu ama umejielekeza vibaya.
mtanzania kwa kuzaliwa hujaelewa nini hapo?
pitia Uzi wako tenamtanzania kwa kuzaliwa hujaelewa nini hapo?
Naona unapambana kiwatoa wenzio kwenye mgao kisa siyo raia[emoji1787][emoji1787]Mtanzania aliyeko Marekani na ni raia wa kule anaweza kuja kuridhi mali au viwanja vya baba yake aliyeko Tanzania?
Hii imekaaje kisheria?
hapana mkuu ni msaada tu mimi najitosheleza niliombwa niulizieNaona unapambana kiwatoa wenzio kwenye mgao kisa siyo raia[emoji1787][emoji1787]
Kuna watu mnaongea vitu havieleweki. Sasa CIA na Mossad kama wanaweza kutengeneza fake passport ili atambulike ni raia wa nchi aitakayo kuifanyia upelelezi HICHO NI KITU KINGINE,uelewe. Hata huyu akitaka kuwa raia wa Tanzania ili aupate urithi avunje sheria atengeneze ufake wa uraia. Na hicho ujue hicho kitakuwa kitu kingine,tayari ameforge hata kama mamlaka hazitatambua hiyo forgery yake. Na forgery siku zote ni za mashaka,ipo siku anaweza kutiwa nguvuni. Hata hao CIA kuna muda wanadakwa.Sasa mbona Membe amegombea mpaka Urais? Si Mcanada huyu?
Msipende kila jambo kulifanya kisheria, CIA na Mossad huwa wanatengeneza fake passport za nchi nyingine ili kutekeleza oparesheni zao bila kutambulika original yao.
Mjifunze kujiongeza kama tumeongozwa na Rais Mrundi wewe Mtanzania pure unajifungia vipi milango?