Mtanzania Tarimo Nemes Raymond, afariki akiwapigania Wagner wa Urusi, kule Ukraine

Mtanzania Tarimo Nemes Raymond, afariki akiwapigania Wagner wa Urusi, kule Ukraine

Alikua masomoni, akafanya makosa, akafungwa urusi, akiwa gerezani Wagner group wakamchukua na kupata mafunzo ya muda mfupi ya kijeshi halafu akapelekwa uwanja wa vita ndio yamemkuta hayo ni ulaghai wa urusi maana iliwalaghai wafungwa kwa kuwaahidi watafutiwa adhabu zao,
Kumbe hapa Serikali inafanya makosa,Kwa nini wanaacha watu Wetu wanatumikishwa?

Urafiki wa kisenge kama huu hapana.
 
Jameni Urusi watatumalizia vijana wa Afrika walioko huko, wameishiwa wanajeshi sasa wanalazimisha watu kwenda kupigana na kufia huko... Ukraine wanafyeka hawajali nani wala nani.

View attachment 2484316
Federal news agency
The funeral of Tarimo Nemes Raymond, a citizen of Tanzania, who fought near Bakhmut as part of the Wagner PMC and died while performing a combat mission, took place in Goryachiy Klyuch.

The African came to Russia for higher education. Later, he ended up in a colony due to a committed offense. It was there that the man accepted the offer to join the ranks of the “musicians” and went to the NVO zone under the call sign “Mbea” in order to protect the interests of the Russian Federation and the sovereignty of Donbass
Federal news agency.

Tarimo died on October 24 while performing a combat mission, when he came under enemy artillery fire. The command of PMC “Wagner” has repeatedly spoken positively about the skills and heroism of the attack aircraft. For the courage shown in battles, he was awarded the medal “For Courage” and the Trench Cross of the Wagner PMC.

View attachment 2484815

The funeral of the fighter was held in the chapel of the “musicians”, which is located in the Hot Key. Soon his body will be sent home.

Oop Stop
Kalazimishwa na nani wewe paka
 
Mchagha fala huyo wenzake wanafia kwenye wizi wa bunduki kwenye ma-bank yeye kaenda kufa anapora ardhi ya watu tena anapigania watu wanaomuona kama mbwa!

Hiyo ilikuwa hasara kwa taifa na familia acha aondoke.
Huyu anaenda kuzikwa mbeya
Mama yake mnyakyusa,na mama yake mzazi alishafarikigi miaka 8 iliyopita
Msiba uko jirani jirani na bochi hospital

Ova
 
Umesahau hata wakenya waliokuwa Wanalipua wekenya wenzao dini,siasa na ukabila?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukishaitwa Abdul...Abdala na mengineyo hauna taifa tena, wewe ni zombi la kulipukia watu mabomu ukapewe mabikira...
Hata ndugu wako wa damu akishaitwa hayo majina anakua useless.... Hapo muda wowote anaweza akatumika kumlipukia hata mama yenu mzazi, akili huwa zimechukuliwa.
 
Huyu jamaa nimesomanae shule ya msingi
Familia yake naifahamu upande wa mama yake ni watu wa mbeya,
Kisa chake alinigusia ndugu yake mmoja kama wiki 2,zilizopita
Aise pole sana ......

Ova
 
Huyu anaenda kuzikwa mbeya
Mama yake mnyakyusa,na mama yake mzazi alishafarikigi miaka 8 iliyopita
Msiba uko jirani jirani na bochi hospital

Ova
Ila kwa mahojiano ni kuwa Mama yake alifariki alipokuwa akijiunga na form 1

Ukipiga muda hadi kwenda Urusi 2016 inapita miaka 8
 
Back
Top Bottom