Mtanzania usijiroge kwenda kutafuta maisha nje ya nchi. Tanzania kuna maisha yote

Haya ni maamuzi ya mtu binafsi. Hata zamani wazee wengi walikuwa wanaambia vijana wasiende mjini kwani kuna maisha ya tabu lakini siku hizi huo msemo huusikii tena.
 
...unataka wengine tusifike ulaya[emoji23] muishie kwenda ulaya nyie tu? ... Ukienda kichwa kichwa kwel inakula kwako...
 
Sera mbovu hizi ndio zinahatarisha hata usalama wa mtu kurudi nyumbani kuishi.

Ndio maana wengi wakienda Ughaibuni hawarudi.
Hawarudi sababu ya different cultures ukizoea sana mambo ya Nje labda ukija huku njoo kula pesa yako na sio kuwekeza Watanzania wa sasa sio wa zamani Sound nyingi na uongo mwingi na wala hawajali muda na hawapo serious kwahio ukishazoea life ya nje ukija huku utaona watu wanakuzingua..., labda kama unakuja kula bata na sio kutafuta pesa
 
Elimu yako ni ya ngazi ipi mkuu ?
 
Mkuu npo Dodoma nataka kwenda Goma huko vp life
 
Wewe ndio laana. Pumbv!
Unajibu kwa mihemko tu.

Huna exposure yeyote ndio maana una povu.

Tembea duniani wewe, You are not a tree.

Haya ndio madhara ya kuishi Tanzania yenye laana, muda mrefu, unakuwa na hasira hovyo...😂😂😂

Umeme shida, maji shida,hela huna,life kitaa gumu, serikali wezi,kodi unalipa na bado maendeleo ya tabu.

Uta acha kulaanika kweli?

Life la Tanzania lime kuchapa haswa 🤣🤣🤣
 
Ukiwa Tanzania, hauna tofauti na kuwa shimoni.
Mimi mwenyewe nipo kwenye mipango ya kujilipua nje. Wewe huoni watu wanakufa baharini kwasababu ya kwenda kwenye nchi ya mabeberu?
 
Mimi kiu yangu siku zote ni kupata friends toka mataifa around hapa hapa Africa. Sijui nawezaje fanikiwa katika hili.
 
Utakuwa chawa au kupe wa CCM.
 
huko huko Germany Kuna waliotoboa, wanaishi vizuri na home wame invest. Mbona huwataji hao? Kama mifano ya kuigwa? Kuna wengine nawajua hapo hapo Germany especially wakenya….wengine wameenda kama house girls..leo wamejiendeleza wana taaluma nzuri tuu. Some of them ni madaktari. I know them.
Watanzania tuache negativity. Kuishi nje siyo lelemama. Lazima ukomae kweli kweli. Kama ni kilimo..ni kile cha Nyerere cha kufa na kupona!

Na fursa ya kuishi Ulaya, better was expected from you. But wapi!
 
Ubaguzi inategemeana na unachokifanya kule nje, Muafrika ukifanya mambo ya kuwashangaza wazungu, hutabaguliwa, watakuheshimu ila kinafiki.
 
Mimi soon najilipua kujaribu maisha nje, Tanzania ndo nchi pekee duniani mwenye digrii hana tofauti na WA darasa la saba.
 
mimi bwana shida yangu kubwa ni hivi videmu vya kibongo aisee.
Ugali majani ya maboga, kisamvu, mchicha nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…