BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Wingi wa vitambulisho inatoa tafsiri gani? Mimi kama BabaMorgan hii ndio list ya vitambulisho nilivyonavyo.
1. Nida
2. Driving license
3. Vote Id
4. Kitambulisho Cha kazi(ofisini)
5. Kitambulisho Cha kazi(TPA)
6. Kitambulisho Cha kazi(Terminal 2)
7. Kitambulisho Cha kazi (Taffa)
8. CRDB ATM Card
9. NMB ATM Card
10. NHIF
11. NSSF
12. Kadi ya kuvukia Kigamboni
Kimsingi hivi vitambulisho ni vingi na ukizingatia asilimia kubwa yapaswa nitembee navyo mtu anaweza kuona wallet imetuna akafikiri najiweza kumbe ni mavitambulisho tu.