Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa meli au kwa ndege?kwa meli kama laki mbili hadi laki moja,ndege kuna wakati go and return 500000,inafikaga mpaka laki saba,kuna wakati mpaka milioni moja
Usipokuwa ndezi utatoboa, kule kutapeliwa ni swala la kawaida sana. Wengi waliokurupuka, walifirisika.kumbe nikijichanga nkafikisha milioni 30 hafu niamue kufanya biashara ya kupeleka karanga,vitunguu...... Comoro ntatoboa ndg mwandishi?
Ushuru ukoje na njia ya kufika huko ni ipi? Ndege au meli na inagharimu kiasi gani?Fursa za Biashara ziliopo Moroni nchini Comoro
Hivi karibuni nilifanya ziara ya kwenda nchini Comoro kufanya visual assessment ya fursa ziliopo kule lakini vile vile kuzungumza na wafanyabiashara wanaokuja Tanzania kununua bidhaa na kufanya biashara nchini.
Kwa idadi ya watu takriban laki nane,(800,000)sione fursa ya midium bussiness structure.Fursa za Biashara ziliopo Moroni nchini Comoro
Hivi karibuni nilifanya ziara ya kwenda nchini Comoro kufanya visual assessment ya fursa ziliopo kule lakini vile vile kuzungumza na wafanyabiashara wanaokuja Tanzania kununua bidhaa na kufanya biashara nchini.
Zilitoka zamani, nadhani 2008/2009 Ila cheki na support@jamiiforums.com Kama bado Wana huduma hiyoBujibuji hii email unaipataje ?
Watu wasikurupuke kule comoro kuna changamoto za usalama wa watu na mali pia!!! Si huko ndiko hivi karibuni ofisi zilivunjwa na ATCL ikapoteza mamiloni ya fedha?Usipokuwa ndezi utatoboa, kule kutapeliwa ni swala la kawaida sana. Wengi waliokurupuka, walifirisika.
Ni hukohuko mkuu.Watu wasikurupuke kule comoro kuna changamoto za usalama wa watu na mali pia!!! Si huko ndiko hivi karibuni ofisi zilivunjwa na ATCL ikapoteza mamiloni ya fedha?
Wale hawahitaji kuambiwa au kusoma sehemu kama hapa. Kama fursa zipo basi walishakuwepo. Na nakukuhakikishia kama hawapo basi siyo sehemu nzuri. Sehemu yenye wakazi around laki nane mzunguko wake wa fedha siyo mkubwa sana hasa kwa nchi za dunia ya tatu.Wakenya na wanaijeria wakiona huu uzi watakazana sana huko.
Nasikitika sababu sisi tutaenda wakati nafasi zimeisha,watu wasioenda na muda au wazee wa kulalamika.
Mleta mada hongera sana
Absolutely true , unajua watu wengi wanapenda muhemuko wa kifra. Kuwekeza inaitaji utulivu wa kutosha na siyo emotional issue.Kwa idadi ya watu takriban laki nane,(800,000)sione fursa ya midium bussiness structure.
hiyo market base ni ndogo sana labda kazi za umachinga, na wajasiliamali wa dogo wadogo wenye mtaji ($500 -$10,000 )Tz kuna fursa mara kumi kuliko Comoros na hazija fanyiwa kazi, matharani Mkoa wa Geita tu kuna watu zaidi 1.5m, kuna kila aina ya fursa, ma dini, kilimo uvuvi, usafirishaji mighahawa hotel elimu nk, na mzunguko wa pesa uko juu sanaa. Na kùna mikoa mingine hapa Tz yenye fursa kuliko au kuzidi. Geita kuna Fursa kuliki Comoros, Tz mungu alitupa kila kitu ila katunyima maarifa na viongozi bora tu. Niende comoros kufanya nini? Niache Market structure ya watu 60m. nikibilie laki nane hiyo ni economic madness.
Wale ambao hawajawahi kufanya biashara nje ya nchi mni samehe bure huenda hamjui usumbufu kufanya biashara kwenye nchi za watu.
Sasa si utangulie mkuu, shida iko wapiWakenya na wanaijeria wakiona huu uzi watakazana sana huko.
Nasikitika sababu sisi tutaenda wakati nafasi zimeisha,watu wasioenda na muda au wazee wa kulalamika.
Mleta mada hongera sana
ASANTE kwa kuweka contact details , lakini kama ulikuwa kule kipindi kirefu kilichopita ingependeza nikampata mtu ambae kwa sasa yuko kule