Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
Tapika tu. Halafu ukimaliza uje utuweke sawa maana inaelekea unamjua vizuri mhusika! Utufahamishe kashitakiwa kwa kosa gani? Dhamana ilikuwa kiasi gani? Hii itasaidia kuliko kulalama tu! Huyu aliyoiweka hii habari aliileta kwa lengo la kuomba msaada kutoka kwa jamii ya watanzania. Hili nalo unaona kosa?
Great Kelly,
I will be very pleased to hear from a different angle of the story. I thought you were going to give another side of it. Please do, otherwise you will be part of the whole rumours going around! I know the guy, but we last met in early 1990s. That's why I have been hesitant to give my comments. I think you will act fairly by balancing this story.
Mimi siyo cnn mpaka nije nikupe details zake hapa then itakusaidia nini?.utatoa nusu ya hiyo bond yake au?....ooh well nimeshatapika na bado unanitia kichefuchefu
Atupishe huko na ka-ufisadi kake ka kuchekelea ufisadi! Huyu bwana kama Liumba ni guilty 'till proven otherwise.....na yule pumba mwenzako Karl Rove, Conyers kampa subpoena, akileta za kuleta nae tutamtia Lupango!! Mwaka huu raha kweli.....teh teh teh teh!π
Well said Cupcake!
Yournameis mine whatever you call yourself...mimi sichekelei ufisadi as you call it ila naongea fact wewe tatizo lako sijui huwa unaokota wapi hizo data zako za uzushi na kabla huja analyze mambo unakuwa una judge tuu moja kwa moja me i pray harder one of these days uende behind bars and i will be the one kukumaliza humu ndani trust me....Yo never ceaze to amaze unajifanya like wewe massiah kuwa hufanyi makosa ooh please tena kwa taarifa wewe ndiyo fisadi namba one....
The thing is they think i am a dummie...please i am smarter than they are...ooh well wakitak more news wamtafute mh Simba siyo miye...
...simply outstanding!!
Yournameis mine whatever you call yourself...mimi sichekelei ufisadi as you call it ila naongea fact wewe tatizo lako sijui huwa unaokota wapi hizo data zako za uzushi na kabla huja analyze mambo unakuwa una judge tuu moja kwa moja me i pray harder one of these days uende behind bars and i will be the one kukumaliza humu ndani trust me....Yo never ceaze to amaze unajifanya like wewe massiah kuwa hufanyi makosa ooh please tena kwa taarifa wewe ndiyo fisadi namba one....
...simply outstanding!!
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeen!! nikirukiwa hutojua ng'odo, nakufa pekeyangu kimya kimya! π
Ahhhhhhhha wapi!!? kumbe na wewe nae ni babu jinga, kila asemacho cupcake wako mshabikia wa ufisadi, wewe unachekacheka tu nakusema hewala.....sio dalili nzuri hiyo, utaanza kuvaa kanga siku si nyingi!
Heheheheheheeee....inaweza ikawa kazi ya Ngabu hiyo...oohoooo.....
Heheheheheheeee....inaweza ikawa kazi ya Ngabu hiyo...oohoooo.....
olooo dude Now i see unaenda far by calling my cupcake names...oloo you better take it back boy!....so wewe unataka awe on your side acha kuchekesha walio nuna shauri yako..besides huna hata eveidence yeyote ila kazi kuita tuu wenzio ni wafisadi....
Of coruse nitajua maana utaanza na collect call...mimi ni secret undercover nitajua upo ndani!...i am watching you dude...
I will be thrilled you know....
heheheheee...cupcake...maybe ni junior ndio anakupa hicho kechefuchefu....you know my steez
Babu yangu mzaa babu ni mganga.....na mzinga wa hirizi tena unapumua, sirukiwa kifalafala 'afu nipo tekea vilevile!π
i know you would be....hebu nenda walmart basi ukachukue ile test halafu unitonye....use my Amex card...