Mtanzania yupo rumande - washington dc.

Mtanzania yupo rumande - washington dc.

Status
Not open for further replies.
Tapika tu. Halafu ukimaliza uje utuweke sawa maana inaelekea unamjua vizuri mhusika! Utufahamishe kashitakiwa kwa kosa gani? Dhamana ilikuwa kiasi gani? Hii itasaidia kuliko kulalama tu! Huyu aliyoiweka hii habari aliileta kwa lengo la kuomba msaada kutoka kwa jamii ya watanzania. Hili nalo unaona kosa?

Mimi siyo cnn mpaka nije nikupe details zake hapa then itakusaidia nini?.utatoa nusu ya hiyo bond yake au?....ooh well nimeshatapika na bado unanitia kichefuchefu
 
Great Kelly,

I will be very pleased to hear from a different angle of the story. I thought you were going to give another side of it. Please do, otherwise you will be part of the whole rumours going around! I know the guy, but we last met in early 1990s. That's why I have been hesitant to give my comments. I think you will act fairly by balancing this story.

Well yes i know him lakini mimi siyo msemaji wake kwa kweli hadi nije nielezee what the really issue is...How am i going to be part of the rumour while i didnt say anything than saying we need to stop kutunga story kama hatujui ukweli.
 
Mimi siyo cnn mpaka nije nikupe details zake hapa then itakusaidia nini?.utatoa nusu ya hiyo bond yake au?....ooh well nimeshatapika na bado unanitia kichefuchefu

Well said Cupcake!
 
Atupishe huko na ka-ufisadi kake ka kuchekelea ufisadi! Huyu bwana kama Liumba ni guilty 'till proven otherwise.....na yule pumba mwenzako Karl Rove, Conyers kampa subpoena, akileta za kuleta nae tutamtia Lupango!! Mwaka huu raha kweli.....teh teh teh teh!😀

Yournameis mine whatever you call yourself...mimi sichekelei ufisadi as you call it ila naongea fact wewe tatizo lako sijui huwa unaokota wapi hizo data zako za uzushi na kabla huja analyze mambo unakuwa una judge tuu moja kwa moja me i pray harder one of these days uende behind bars and i will be the one kukumaliza humu ndani trust me....Yo never ceaze to amaze unajifanya like wewe massiah kuwa hufanyi makosa ooh please tena kwa taarifa wewe ndiyo fisadi namba one....
 
...simply outstanding!!
 
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeen!! nikirukiwa hutojua ng'odo, nakufa pekeyangu kimya kimya! 😀
 
...simply outstanding!!

Ahhhhhhhha wapi!!? kumbe na wewe nae ni babu jinga, kila asemacho cupcake wako mshabikia wa ufisadi, wewe unachekacheka tu nakusema hewala.....sio dalili nzuri hiyo, utaanza kuvaa kanga siku si nyingi!
 
olooo dude Now i see unaenda far by calling my cupcake names...oloo you better take it back boy!....so wewe unataka awe on your side acha kuchekesha walio nuna shauri yako..besides huna hata eveidence yeyote ila kazi kuita tuu wenzio ni wafisadi....
 
Heheheheheheeee....inaweza ikawa kazi ya Ngabu hiyo...oohoooo.....

Twi twi twi twi twi burudani!!! Cupcake wako anatolea mimachooooo......hivi yule fisadi mwingine model fake nae kaishia wapi?
 
olooo dude Now i see unaenda far by calling my cupcake names...oloo you better take it back boy!....so wewe unataka awe on your side acha kuchekesha walio nuna shauri yako..besides huna hata eveidence yeyote ila kazi kuita tuu wenzio ni wafisadi....

thank you babes....you da bombest! my mami chula....
 
Of coruse nitajua maana utaanza na collect call...mimi ni secret undercover nitajua upo ndani!...i am watching you dude...

Babu yangu mzaa babu ni mganga.....na mzinga wa hirizi tena unapumua, sirukiwa kifalafala 'afu nipo tekea vilevile!😀
 
heheheheee...cupcake...maybe ni junior ndio anakupa hicho kechefuchefu....you know my steez

hahahahah!..i guess i might need to consult a dr what do you think? hahaha hata akiwa jr nitafurahi sana its abt time au siyo?LOL!....Then yournameismine atakuwa god father.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom