Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Aisee mimi kilichonishtusha ni hiyo dhamana! Mpaka sasa najiuliza ni makosa (kosa)gani haswa la kufanya dhamana yake iwe kubwa kiasi hicho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana tu ulipoanzisha hii thread nilijua kuwa jamaa ni mwizi....sina sympathy na hawa "mabingwa" wanaotaka fweza za fasta fasta ktk nchi za watu, ufisadi huko huko bongo hii ni nchi ya sheria, ukizivunja basi sooo ni lako mwenyewe!
Uki-google jina la hiyo kampuni yake unapata haya hapo chini:
MAMBO JAMBO, USA.
New entartainment company.
Established in 2001.
Based in arusha, tanzania.
We have recording studio in dar-es salaam, tanzania.
We have a radio station in arusha, tanzania (. Mj FM 93.0)
Our main office for entartainment and general supply is in Washington DC.
We supply everything all over the world includes food, electronics, building materials, etc Construction Materials Stocks ,Entertainment Projects ,Network Communications ,Truck & Parts ,
Business Type Distributor/Wholesaler
Products/Services Entartainment products, food, electronics, building materials
Our Markets Worldwide
No. of Employees 11 - 50 People
Mr. (nimefuta jina)
Address 8821 Goose Landing Cirlce, Columbia, Maryland, Tanzania
Zip Code 21045
Telephone +001 410 997-0992
Mobile 4109080923
Fax +001 410 997-0992
Website Mambo Jambo (Usa), Mambo Jambo (Usa)
Address hiyo imepinda "8821 Goose Landing Cirlce, Columbia, Maryland, Tanzania." Toka lini??? Entertainment company gani ipo 'ivo?? Waajiliwa kati ya 11-50, hai-make sense (kwanini isiwe ni 11 au 50 badala ya huo uzushi wa 11-50??)...na maswali mengine kibao!!!
Watu waende shule, ukiwa na elimu hata ya community college hapa USA opportunity ni kibao wajameni! Hizi story wengine tumezichoka, mchango nitatoa kwa mtu mwenye issues na INS/ICE (noma yenyewe pia iwe ya kueleweka)....
Pointi nzuri dogo! Kweli kabisa...watu wanajifanya wajanja sijui wachakarikaji kumbe hawana lolote zaidi ya utapeli na wizi. Hapa Nyamwezi huwezi kumjua nani ni nani.
Oh well, mwache anyee debe huko lupango.
Kama huko kwenu (ATL) kuna mshkaji wa mshkaji wangu nae kalaliwa kwa kesi ya kupiga checks bank.....kwanza michezo hiyo ni ya kizamani, pili alikuwa na muda/nafasi ya kwenda community college huku akibeba boksi na kuitoa kiuungwana hapa USA!! Hata mshkaji wake ambae ni mshkaji wangu hamwonei huruma....
Kesi hizi za wabongo zipo nyingi sana, kuanzia wanaobeba bwimbwi toka Brazili na kwingineko (namjua mmoja anachezea mvua 7 kwa federal pen) mpaka za wabakaji (kuna mshkaji wa umri wangu anachezea mvua 20 mitaa ya FL...kesha toka mapengo, unajua tena) na hizo DUI ndio usiseme!! Kila mtu kivyake, ukilikoroga unalinywa kimpango wako.
Hivi kuna msaada gani hapa? you must be kidding kama unafikiri tunaweza kuchangishana na kurise hiyo $1.7m hapa! Au unadhani huko kuna mambo ya kwenda kuongea na wakubwa au kuhonga ili atoke? Siamini kama vyombo husika vilikurupuka kumkamata huyu bwana, uchunguzi wa kutosha utakuwa umefanyika- tuiache sheria ifuate mkondo wake, if he is innocent atatoka tu na kama amekuwa akijihusisha na uhalifu let him pay the price na hii iwe fundisho kwetu sote.Kazi za boksi zipo kibao lakini kama unadhani utapata pesa za chapchap huku ughaibuni kwa njia za mkatomkato basi utegemee mambo kama haya!
Chonde chode nyie wote mnaongelea vitu msivyovijua ni heri mtemee mate chini....you all judging the guy bila kujua the really story or situation i can say...oh my god tanzania people never ceace to amaze me eeeh the guy is innocent until proven guilt...he is not guilt for the record na hizo deal mnazoongelea kuwa amefanya ziyo kweli and he is such a nice guy he doesnt do all those illegal stuff...Na huyo aliyeanzaisha hii thread ni mzushi hakuna kitu kama hicho eti 1.7ml bond my foot!.
You all need to stop judging him jeeeez!...i feel like throwing up! oooh my!
Chonde chode nyie wote mnaongelea vitu msivyovijua ni heri mtemee mate chini....you all judging the guy bila kujua the really story or situation i can say...oh my god tanzania people never ceace to amaze me eeeh the guy is innocent until proven guilt...he is not guilt for the record na hizo deal mnazoongelea kuwa amefanya ziyo kweli and he is such a nice guy he doesnt do all those illegal stuff...Na huyo aliyeanzaisha hii thread ni mzushi hakuna kitu kama hicho eti 1.7ml bond my foot!.
You all need to stop judging him jeeeez!...i feel like throwing up! oooh my!
Unajua mara nyingi mambo kama haya huwa ni vigumu sana kupata ukweli halisi. Lazima kuna mahali watu wataongeza chumvi na kuna mahali watu wataondoa ama kuficha ama kuacha kwa makusudi baadhi ya mambo. Hii hutegemea mtoa habari na huyo mtuhumiwa wanahusianaje. Ni wazi kama mtuhumiwa ni ndugu, jamaa, ama rafiki yako basi utakuwa na upendeleo fulani katika kutoa habari hiyo na hata kumtetea. Vilevile kama mtuhumiwa huyo ni mtu ambaye humjali sana kwa namna moja au nyingine basi uwezekano wako wa kumlima, kumzushia, kumrushia madongo, na kuongeza madoido katika habari yako utakuwa mkubwa. Cha muhimu hapa ni kuipokea tu habari hii kama ilivyo na kuiacha kama ilivyo. Kutafuta ukweli kamili hususan mtandaoni (kijiweni) kama hapa ni kama kutafuta sindano katika haystack (sijui kiswahili chake).
Hata Liumba aliyetingishwa leo pale Kisutu mjini Darisalama, kuna wakina Kelly01 ambao wanasema/watasema ni msafi, kazushiwa...woooooooooooote wanaosema vinginevyo ni majungu tu na chuki binausi!! Ndivyo tulivyo....
Huyu jamaa ni mwizi, yeye nani kwani mpaka azushiwe?? hii ni nchi ya sheria, police hawawezi kumlalia mtu kama hakuna probable cause....tuanze kujifunza kuacha uswahili wa kukumbatia uhalifu hata kama walioufanya ni ndugu, jamaa au marafiki zetu!! Ebo....
Jumanne njema!
Hey...keep my Cupcake's name out of your mouth, will you?
Atupishe huko na ka-ufisadi kake ka kuchekelea ufisadi! Huyu bwana kama Liumba ni guilty 'till proven otherwise.....na yule pumba mwenzako Karl Rove, Conyers kampa subpoena, akileta za kuleta nae tutamtia Lupango!! Mwaka huu raha kweli.....teh teh teh teh!😀