Mtanzania yupo rumande - washington dc.

Mtanzania yupo rumande - washington dc.

Status
Not open for further replies.
Aisee mimi kilichonishtusha ni hiyo dhamana! Mpaka sasa najiuliza ni makosa (kosa)gani haswa la kufanya dhamana yake iwe kubwa kiasi hicho.
 
Jana tu ulipoanzisha hii thread nilijua kuwa jamaa ni mwizi....sina sympathy na hawa "mabingwa" wanaotaka fweza za fasta fasta ktk nchi za watu, ufisadi huko huko bongo hii ni nchi ya sheria, ukizivunja basi sooo ni lako mwenyewe!

Uki-google jina la hiyo kampuni yake unapata haya hapo chini:

MAMBO JAMBO, USA.
New entartainment company.
Established in 2001.
Based in arusha, tanzania.
We have recording studio in dar-es salaam, tanzania.
We have a radio station in arusha, tanzania (. Mj FM 93.0)
Our main office for entartainment and general supply is in Washington DC.
We supply everything all over the world includes food, electronics, building materials, etc Construction Materials Stocks ,Entertainment Projects ,Network Communications ,Truck & Parts ,
Business Type Distributor/Wholesaler
Products/Services Entartainment products, food, electronics, building materials
Our Markets Worldwide
No. of Employees 11 - 50 People

Mr. (nimefuta jina)
Address 8821 Goose Landing Cirlce, Columbia, Maryland, Tanzania
Zip Code 21045
Telephone +001 410 997-0992
Mobile 4109080923
Fax +001 410 997-0992
Website Mambo Jambo (Usa), Mambo Jambo (Usa)

Address hiyo imepinda "8821 Goose Landing Cirlce, Columbia, Maryland, Tanzania." Toka lini??? Entertainment company gani ipo 'ivo?? Waajiliwa kati ya 11-50, hai-make sense (kwanini isiwe ni 11 au 50 badala ya huo uzushi wa 11-50??)...na maswali mengine kibao!!!

Watu waende shule, ukiwa na elimu hata ya community college hapa USA opportunity ni kibao wajameni! Hizi story wengine tumezichoka, mchango nitatoa kwa mtu mwenye issues na INS/ICE (noma yenyewe pia iwe ya kueleweka)....

Pointi nzuri dogo! Kweli kabisa...watu wanajifanya wajanja sijui wachakarikaji kumbe hawana lolote zaidi ya utapeli na wizi. Hapa Nyamwezi huwezi kumjua nani ni nani.

Oh well, mwache anyee debe huko lupango.
 
Kama huko kwenu (ATL) kuna mshkaji wa mshkaji wangu nae kalaliwa kwa kesi ya kupiga checks bank.....kwanza michezo hiyo ni ya kizamani, pili alikuwa na muda/nafasi ya kwenda community college huku akibeba boksi na kuitoa kiuungwana hapa USA!! Hata mshkaji wake ambae ni mshkaji wangu hamwonei huruma....

Kesi hizi za wabongo zipo nyingi sana, kuanzia wanaobeba bwimbwi toka Brazili na kwingineko (namjua mmoja anachezea mvua 7 kwa federal pen) mpaka za wabakaji (kuna mshkaji wa umri wangu anachezea mvua 20 mitaa ya FL...kesha toka mapengo, unajua tena) na hizo DUI ndio usiseme!! Kila mtu kivyake, ukilikoroga unalinywa kimpango wako.
 
Kumbe jamaa ni mwekezaji. Sasa wabeba mabox wasaidie vipi?
 
Amelikoroga na alinywe mwenyewe. Hakuna cha huruma hapa. Tumechoka kuishi na tabia za kitapeli. Tena wafungwe wote wanaokuja USA kufanya dili chafu badala ya kufanya kazi. Wanaharibu sifa za ndugu na marafiki zetu ambao wako USA na kwingineko wakijishughulisha na shughuli halali iwe kazi au masomo. Sasa hawa wachache wanaowatia aibu na kusababisha Watz waonekana kama Wa Nigeria nataka wafungwe au warejeshwe hapa TZ na escort kali kuliko ile ya Rais Obama.
 
White Collar crime wabongo hawana ujuzi nayo kama Popo (Nigerians) ambaye anazipiga kwa elimu yake, most wabongo who attempt it get caught kizembe zembe tu, that is after making a nigerian rich somewhere and becoming the fall guy of coz, Popo anachukua 75% of the deal money and mbongo anachukua 100% of the risk of getting caught, 25% mbongo anaende ku rent escalade to stunt at the bongo bashment mwisho wa week... tuwaachie kina baba tunde hii michezo, bila elimu ni ngumu ku-save and invest na kuepuka kunyea debe..
 
Neno "ndugu' lina maana tu pale makosa yake yakijulikana, vinginevyo ni uchuro mtupu. Nakubaliana na wana JF wanaosema tupate habari za makosa yake. Jina lake sio muhimu lakini alienda kwa shughuli gani huko?
 
Kama huko kwenu (ATL) kuna mshkaji wa mshkaji wangu nae kalaliwa kwa kesi ya kupiga checks bank.....kwanza michezo hiyo ni ya kizamani, pili alikuwa na muda/nafasi ya kwenda community college huku akibeba boksi na kuitoa kiuungwana hapa USA!! Hata mshkaji wake ambae ni mshkaji wangu hamwonei huruma....

Kesi hizi za wabongo zipo nyingi sana, kuanzia wanaobeba bwimbwi toka Brazili na kwingineko (namjua mmoja anachezea mvua 7 kwa federal pen) mpaka za wabakaji (kuna mshkaji wa umri wangu anachezea mvua 20 mitaa ya FL...kesha toka mapengo, unajua tena) na hizo DUI ndio usiseme!! Kila mtu kivyake, ukilikoroga unalinywa kimpango wako.

Ha ha ha ha... sadly funny!!!
--------
Mkuu, ahsante kwa info hapo juu kwenye post iliyotangulia... nimecheck nakukuta ni jamaa ninayemfahamu tangu enzi wakiwa Ada estate. duuh. Hope mdogo wake yuko okay huko...
 
Hivi kuna msaada gani hapa? you must be kidding kama unafikiri tunaweza kuchangishana na kurise hiyo $1.7m hapa! Au unadhani huko kuna mambo ya kwenda kuongea na wakubwa au kuhonga ili atoke? Siamini kama vyombo husika vilikurupuka kumkamata huyu bwana, uchunguzi wa kutosha utakuwa umefanyika- tuiache sheria ifuate mkondo wake, if he is innocent atatoka tu na kama amekuwa akijihusisha na uhalifu let him pay the price na hii iwe fundisho kwetu sote.Kazi za boksi zipo kibao lakini kama unadhani utapata pesa za chapchap huku ughaibuni kwa njia za mkatomkato basi utegemee mambo kama haya!

Mkuu KKN
Well said. Muhimu si watanzania wa US tu watanzania kokote duniani tumeanza kudharaulika. Muda si mrefu tutawapokea popoo mateso yao. Kwani kazi halali hazipo? Matokeo ya tabia za udokozi yatawakumba watoto na wajukuu zetu. Watamlaani kila atakayesema aliishi ughaibuni
 
Kila kitu kitakuwa pouwa tu....Obama sasa ndo raisi na mwambieni mshikaji atatoka muda si mrefu....with Obama in office everything will be alright...

Nyani ndivyo walivyo!

Huyu ni wa kule JF Ville Forest Reserve!😉

MinyaniNdivyo Ilivyo.gif
Kukurukukuru...

Ushabiki!
 
Chonde chode nyie wote mnaongelea vitu msivyovijua ni heri mtemee mate chini....you all judging the guy bila kujua the really story or situation i can say...oh my god tanzania people never ceace to amaze me eeeh the guy is innocent until proven guilt...he is not guilt for the record na hizo deal mnazoongelea kuwa amefanya ziyo kweli and he is such a nice guy he doesnt do all those illegal stuff...Na huyo aliyeanzaisha hii thread ni mzushi hakuna kitu kama hicho eti 1.7ml bond my foot!.

You all need to stop judging him jeeeez!...i feel like throwing up! oooh my!
 
Siku hizi nikisikia kuwa kuna mtanzania anayekabiliwa na vyombo vya sheria hapa Marekani huwa sishangai tena; nimezowea kabisa. Ama tunasumbuliwa na ulimbukeni, au tuna matatizo yatokanayo na kukulia katika jamii isiyokuwa na maadili kwa jumla - viongozi wetu na ndugu zetu wa karibu wote tuna tatizo hilo.

Sina uhakika na tatizo la ndugu yetu huyu. Ninafahamu kuwa alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya kuuza nyumba ya Century21. Je kosa lake linatokana na huko kazini kwake au ni mambo ya mitaani tu (mishenitown.)
 
Chonde chode nyie wote mnaongelea vitu msivyovijua ni heri mtemee mate chini....you all judging the guy bila kujua the really story or situation i can say...oh my god tanzania people never ceace to amaze me eeeh the guy is innocent until proven guilt...he is not guilt for the record na hizo deal mnazoongelea kuwa amefanya ziyo kweli and he is such a nice guy he doesnt do all those illegal stuff...Na huyo aliyeanzaisha hii thread ni mzushi hakuna kitu kama hicho eti 1.7ml bond my foot!.

You all need to stop judging him jeeeez!...i feel like throwing up! oooh my!

Great Kelly,

I will be very pleased to hear from a different angle of the story. I thought you were going to give another side of it. Please do, otherwise you will be part of the whole rumours going around! I know the guy, but we last met in early 1990s. That's why I have been hesitant to give my comments. I think you will act fairly by balancing this story.
 
Chonde chode nyie wote mnaongelea vitu msivyovijua ni heri mtemee mate chini....you all judging the guy bila kujua the really story or situation i can say...oh my god tanzania people never ceace to amaze me eeeh the guy is innocent until proven guilt...he is not guilt for the record na hizo deal mnazoongelea kuwa amefanya ziyo kweli and he is such a nice guy he doesnt do all those illegal stuff...Na huyo aliyeanzaisha hii thread ni mzushi hakuna kitu kama hicho eti 1.7ml bond my foot!.

You all need to stop judging him jeeeez!...i feel like throwing up! oooh my!

Tapika tu. Halafu ukimaliza uje utuweke sawa maana inaelekea unamjua vizuri mhusika! Utufahamishe kashitakiwa kwa kosa gani? Dhamana ilikuwa kiasi gani? Hii itasaidia kuliko kulalama tu! Huyu aliyoiweka hii habari aliileta kwa lengo la kuomba msaada kutoka kwa jamii ya watanzania. Hili nalo unaona kosa?
 
Unajua mara nyingi mambo kama haya huwa ni vigumu sana kupata ukweli halisi. Lazima kuna mahali watu wataongeza chumvi na kuna mahali watu wataondoa ama kuficha ama kuacha kwa makusudi baadhi ya mambo. Hii hutegemea mtoa habari na huyo mtuhumiwa wanahusianaje. Ni wazi kama mtuhumiwa ni ndugu, jamaa, ama rafiki yako basi utakuwa na upendeleo fulani katika kutoa habari hiyo na hata kumtetea. Vilevile kama mtuhumiwa huyo ni mtu ambaye humjali sana kwa namna moja au nyingine basi uwezekano wako wa kumlima, kumzushia, kumrushia madongo, na kuongeza madoido katika habari yako utakuwa mkubwa. Cha muhimu hapa ni kuipokea tu habari hii kama ilivyo na kuiacha kama ilivyo. Kutafuta ukweli kamili hususan mtandaoni (kijiweni) kama hapa ni kama kutafuta sindano katika haystack (sijui kiswahili chake).
 
jamani mbona haieleweki?chukulia uko Bongo mtu anakufuata na kukueleza" ndugu yako yuko polisi unatakiwa kumsaidia".kwa upande wangu ningependa kufahamu ni nani na amekamatwa kwa kosa gani.Ila kama ni Fisadi.....
 
Unajua mara nyingi mambo kama haya huwa ni vigumu sana kupata ukweli halisi. Lazima kuna mahali watu wataongeza chumvi na kuna mahali watu wataondoa ama kuficha ama kuacha kwa makusudi baadhi ya mambo. Hii hutegemea mtoa habari na huyo mtuhumiwa wanahusianaje. Ni wazi kama mtuhumiwa ni ndugu, jamaa, ama rafiki yako basi utakuwa na upendeleo fulani katika kutoa habari hiyo na hata kumtetea. Vilevile kama mtuhumiwa huyo ni mtu ambaye humjali sana kwa namna moja au nyingine basi uwezekano wako wa kumlima, kumzushia, kumrushia madongo, na kuongeza madoido katika habari yako utakuwa mkubwa. Cha muhimu hapa ni kuipokea tu habari hii kama ilivyo na kuiacha kama ilivyo. Kutafuta ukweli kamili hususan mtandaoni (kijiweni) kama hapa ni kama kutafuta sindano katika haystack (sijui kiswahili chake).

Hata Liumba aliyetingishwa leo pale Kisutu mjini Darisalama, kuna wakina Kelly01 ambao wanasema/watasema ni msafi, kazushiwa...woooooooooooote wanaosema vinginevyo ni majungu tu na chuki binausi!! Ndivyo tulivyo....

Huyu jamaa ni mwizi, yeye nani kwani mpaka azushiwe?? hii ni nchi ya sheria, police hawawezi kumlalia mtu kama hakuna probable cause....tuanze kujifunza kuacha uswahili wa kukumbatia uhalifu hata kama walioufanya ni ndugu, jamaa au marafiki zetu!! Ebo....

Jumanne njema!
 
Hey...keep my Cupcake's name out of your mouth, will you?
 
Hey...keep my Cupcake's name out of your mouth, will you?

Atupishe huko na ka-ufisadi kake ka kuchekelea ufisadi! Huyu bwana kama Liumba ni guilty 'till proven otherwise.....na yule pumba mwenzako Karl Rove, Conyers kampa subpoena, akileta za kuleta nae tutamtia Lupango!! Mwaka huu raha kweli.....teh teh teh teh!😀
 
Huyo kibabu Conyers mwenye erectile dysfunction hana mpango na hana kazi ya kufanya zaidi ya ku subpoena watu. Ni kawaida yake na tumeshamzoea na hakuna chochote kitakachotokea. Kamshindwa kumdhibiti mke wake Monica Conyers huko Detroit atamuweza Rove and Co. kweli?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom