mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
ila tukubaliane hapo kwenye kumpa mimba kakoseaHapo umemmaliza kabisa. Hawa viumbe ni kuishi nao kwa akili sana
Sikuzote wanamtawala mwanamume ambaye dhaifu
Mwanamume ambaye mwanamke hawezi kumtawala ndiye mwanamume ambaye sikuzote mwanamke hana ujanja kwake
Be that man
Ulitaka iweje kama kula visalio alishavi pruni?ila tukubaliane hapo kwenye kumpa mimba kakosea
ungemuacha tu binti wa watu babuπ najua wanapenda hela ulizonazo ila waonee huruma, waache wasomeπUlitaka iweje kama kula visalio alishavi pruni?
Wa miaka 32, ha ha ha. Mara nyingi nakuwa na mahusiano kuanzia miaka 30, hawa angalau wanajitambua, chini ya 30 nawaachia nyie πungemuacha tu binti wa watu babuπ najua wanapenda hela ulizonazo ila waonee huruma, waache wasomeπ
Hatujafikisha watoto hao, ila Kiukweli uhuru anao mkubwa sana,.Kama una watoto naye watatu wanne hivi, mpatie uhuru wa kumiliki Asset zako; hiyo ndio faraja kwake
Sema nini kataka mwenyewe amzalieila tukubaliane hapo kwenye kumpa mimba kakosea
Vijana wanaogopa watoto, wazee wanataka watoto; nyie mpo kundi lipi? πSema nini kataka mwenyewe amzalie
Vijana wanaogopa watoto, wazee wanataka watoto; nyie mpo kundi lipi? π
Mpe uhuru husimbane,utamjua vizuri jifanye kama fala kipindi unamchunguza.Vipi kuhusu undercover bad girls????
Kunawuga na post wall wana act like they descended from heaven!
Tutawajuaje mkuu?
Wanajitambua wapi mkuu wakati wanakuwa desperate kufind retirement plan .Wa miaka 32, ha ha ha. Mara nyingi nakuwa na mahusiano kuanzia miaka 30, hawa angalau wanajitambua, chini ya 30 nawaachia nyie π
Kila mwanamke anafaa kua mke,lakini sio kila mwanamke anaweza kua mkeoKwa haraka haraka, muonekano wa mtu kimavazi, kimiondoko, kimaongezi, na alivyosuka kichwani; humtambulisha huyu ni mtu wa namna gani, na kupitia maeneo hayo unaweza pia kujua tabia ya muhusika.
Kwa hiyo kama wewe ni mwanaume na unatafuta mke, kwa haraka haraka anza na mavazi; kama anavaa vimini, vipedo, suruali za kubana, katoboa pua huyo hafai kuwa mke, pale pita na utembee; kwa sababu maisha ya ndoa si kupiga pushapu tu, ina mambo mengi zaidi.
Hivyo hivyo kwa wanawake ukiona mwanaume anatembea anajikisa, anajilamba lamba, anavaa vibukta vifupi, anajipendekeza pendekeza, na aongei kama mwanaume mwenye mamlaka; huyo piga chini ata kama ana hela, hakuna ramani hapo.
View attachment 2721442
Mwanangu huyoChukua chuma hicho
Kama unataka uweke kibanda sawa, ila kama ni kupooza injini tu hakuna shidaWanajitambua wapi mkuu wakati wanakuwa desperate kufind retirement plan .
Yaani after years and years of running from one man to another sasa anatafuata fwala mwenye less experience in relationship nakumtupia zigo.
Muulize alikuwa wapi kipindi cha ubora wake? From 20 to 27)
A 30 yrs old woman is a post wall.
Nilisahau.
Utakuta ana multiple kids from different men.
Wapo wanaoamini kupewa ela ndio kupendwaKila mwanamke anafaa kua mke,lakini sio kila mwanamke anaweza kua mkeo
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wanakuwa hawaijui jinsia yao vizuri, wanajihisi labda ni wakike au wakiumeWavaa vibukta na miguu yenyewe miembamba[emoji1787]
Anapenda kulelewa na waliomzidi umri πMwanangu huyo
Labda hao ndio wanaompa furaha ya moyoAnapenda kulelewa na waliomzidi umri π
Hakuna cha furaha, ni ujanja wa kukwepa majukumu πLabda hao ndio wanaompa furaha ya moyo
πππHakuna cha furaha, ni ujanja wa kukwepa majukumu π