Mtatiro amaliza utata ishu ya Manara ya jana. Atoa ufafanuzi kisheria

Mtatiro amaliza utata ishu ya Manara ya jana. Atoa ufafanuzi kisheria

Kutambulisha wachezaji siyo shughuli ya soka Uwe mwelewa. Ile ni kama sendoff tu na siyo harusi. Kwani Mario angevua nguo pale jukwaani angeshitakiwa na TFF? Mbona Mtibwa hawajatabulisha wachezaji kama Yanga na Simba, kuna kanuni wamevunja?
Usiwe mbishi, ni any related activities, sasa usichoelewa hapo kitu Gani? Au Jana pale walikua wanatambika?
 
Manara ameruhusiwa kwenda uwanjani kuangalia mpira tu! Ndiyo haki aliyopewa kwenye adhabu yake. Kwa hiyo kama alifanya shughuli tofauti na aliyoruhusiwa amekiuka ahabu
 
Wachezaji waliotambulishwa na haji pale jana ni wa mchezo gani??
Ngumi? Riadha?Tennis?? Basket? Au hebu nisaidie??

Na tamasha lile lilikua la team ya mchezo upi? Na lilihusisha nn jana, nipe ufahamu nataka kuelewa.
Sports club na siyo football club
 
Mtatiro ni mwanasheria nguli,uwa ashindwi kesi uyo mkurya, ndie mwanasheria anaeongoza kwa kushinda kesi nyingi Africa nzima,anajua sheria mpaka mataifa ya nje uwa yanamtumia kushinda kesi zao, yaani kwa kifupi sio kanjanja na hana njaa,hata icho cheo chake cha mkuu wa wilaya walifanya kumbembeleza mno alikuwa hataki kabisa,nchi hii ina ujinga sana
Acha uongo wewe uwakili kaupata mwaka huu hizo kesi atakua alikua anashinda chumbani kwake.
 
Chevening mpira....nchi imejaa mipasho sahvi kila kona
Wapiga mipasho wanasikika kuliko
Wachezaji mpira ehhh

Ova
 
Kutambulisha wachezaji siyo shughuli ya soka Uwe mwelewa. Ile ni kama sendoff tu na siyo harusi. Kwani Mario angevua nguo pale jukwaani angeshitakiwa na TFF? Mbona Mtibwa hawajatabulisha wachezaji kama Yanga na Simba, kuna kanuni wamevunja?
Umeshasema kutambulisha 'wachezaji' tayari unamaanisha ni shughuli ya kimpira sio kitchen party.

Unajua nyie ndo mnaosababisha mambo ya nchi yasiende mbele kwa kujifanya much know kumbe kichwani empty kabisa.
 
Kutambulisha wachezaji siyo shughuli ya soka Uwe mwelewa. Ile ni kama sendoff tu na siyo harusi. Kwani Mario angevua nguo pale jukwaani angeshitakiwa na TFF? Mbona Mtibwa hawajatabulisha wachezaji kama Yanga na Simba, kuna kanuni wamevunja?
Alikuwa anatambulisha akina Mandonga? Kwamba sio wanasoka?
Au akina Farid na Aucho siku hizi hawachezi soka?
 
Manara mwenyewe alishawahi kusema kwamba wenye akili Yanga ni wawili tu (Sunday Manara na Kikwete) . Kwahiyo Manara anafanya analolijua na anaamini Mashabiki wa Yanga watakubaliana naye sababu hawana akili ya utambuzi wa jambo lolote.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Hukumu aliyo pewa haji ni kuto kujishughulisha na shughuli yoyote ya ki soka ... Bold hapo shughuli yoyote ya soka ,...shughuli iliyo kuwa inaendelea uwanja wa benjamin mkapa ni shughuli ya ki soka mwanzo mwisho

Unless angejitokeza tu kama mtazamaji, lkn kitendo cha ku tekeleza majukumu ni tayari umejishughulisha na shughuli ya soka hapo ni SPANA TU
Kwanini kutazama mpira sio shughuli ya kisoka? Tusubiri wanasheria watufafanulie zaidi.
 
Kutambulisha wachezaji siyo shughuli ya soka Uwe mwelewa. Ile ni kama sendoff tu na siyo harusi. Kwani Mario angevua nguo pale jukwaani angeshitakiwa na TFF? Mbona Mtibwa hawajatabulisha wachezaji kama Yanga na Simba, kuna kanuni wamevunja?
Alitambulisha wachezaji wa kriketi au soka? Tuanzie hapo
 
Mtatiro kaongonzwa na uchawa kutoa maoni yake si sheria. Manara kakosea.
 
Back
Top Bottom