Mtatiro amaliza utata ishu ya Manara ya jana. Atoa ufafanuzi kisheria

Mtatiro amaliza utata ishu ya Manara ya jana. Atoa ufafanuzi kisheria

Mtatiro anasema lile bonanza lilikuwa mali ya Yanga SC, ni sawa, lakini mbona hasemi lilikuwa linahusisha nini? jibu ni utambulisho wa wachezaji wa mpira wa miguu, ambao TFF ndio bosi wake hapa nchini.

Hapo ndipo yale maneno "haruhusiwi kujihusisha na shughuli za mpira wa miguu" yanapoingia, Manara ameshanasa asubiri rungu tu.
 
Mtatiro ni mwanasheria nguli,uwa ashindwi kesi uyo mkurya, ndie mwanasheria anaeongoza kwa kushinda kesi nyingi Africa nzima,anajua sheria mpaka mataifa ya nje uwa yanamtumia kushinda kesi zao, yaani kwa kifupi sio kanjanja na hana njaa,hata icho cheo chake cha mkuu wa wilaya walifanya kumbembeleza mno alikuwa hataki kabisa,nchi hii ina ujinga sana
Kipindi cha jiwe alikuwa anamponda sna jiwe kimachale mara ghafla akafuta post zote za kumponda jiwe kuuu kule insta
Na akala ukuu wa wilaya chap
 
Huyu jamaa ni genius sana halafu si kala bachelor degree ya sheria juzijuzi tu? hii nchi ina wasomi wakali sana wa sheria


View attachment 2316817
Yanga imesajiliwa kama kampuni/club cha mpira. Yote yaliyofanyika jana yalikuwa chini ya mwanvuli huo wa usajili wa Yanga labda kama kuna usajiri wa aina nyingine.

Kuwaita watu ili uwatangazie wachezaji wako ni katika kutekeleza hayo, unawatambulisha juu ya shughuli wanayofanya ambayo mwenye shughuli yake amekwambia usijihusishe.. Ruhusa waliyopewa kutumia ule uwanja si kwaajili ya disco. Ni sehemu ya shughuli ya michezo. Matangazo ya mpira huanzia kwenye kutangaza wachezaji na si pale refa anapopuliza kipyenga.
 
Back
Top Bottom