Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
mtatiro sio taahira. anajielewa, hawezi kuhamia chama kiini macho huku uhalisia wake ni saccos chini ya hayatulah mtei wa tengeru.unajitafutia umaarufu kwenywe posho, hama kwanza cuf maana haikufai, njoo kwa makamanda
.............Laki tatu tunazopata zinatosha kila kitu na CHENJI inabaki, zinatosha
kula, kulala, kumpa dereva na kuishi Dodoma................
Yaani nimecheka kweli hapo. Huyu huyu Mtatiro nimjuaye ameenda na dereva huko? Aseme ukweli bana. Yeye ameenda na nyumba ndogo na kila mtu aliyepo huko anajua
hili jukwaa sijui kuna baadhi ni watoto wadogo sielewi ndugu mtatiro ametoa tahadhari na kuomba tumuunge mkono. ajabu watu mnaanza kumkejeli na kukashifu na ukute wewe unaekashifu ni mlalahoi. tumieni akili masuala kama haya ni ya kuunga mkono na kupinga kwa nguvu siyo kuleta ushabiki usiyokuwa na tija.