Mtatiro: Kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la Katiba waongezewe Posho

Mtatiro: Kuna njama zinapangwa ili wajumbe wa bunge la Katiba waongezewe Posho

Hili wala si jambo la kushtusha; mtu pekee mwenye kupanga malipo ya hawa Wabunge ni Rais Kikwete. Kama anaona wanastahili laki tatu kwa siku ndiyo hivyo wakimlilia vizuri anaweza kuwakumbuka zaidi...
 
unajitafutia umaarufu kwenywe posho, hama kwanza cuf maana haikufai, njoo kwa makamanda
mtatiro sio taahira. anajielewa, hawezi kuhamia chama kiini macho huku uhalisia wake ni saccos chini ya hayatulah mtei wa tengeru.
 
hili jukwaa sijui kuna baadhi ni watoto wadogo sielewi ndugu mtatiro ametoa tahadhari na kuomba tumuunge mkono. ajabu watu mnaanza kumkejeli na kukashifu na ukute wewe unaekashifu ni mlalahoi. tumieni akili masuala kama haya ni ya kuunga mkono na kupinga kwa nguvu siyo kuleta ushabiki usiyokuwa na tija.
 
we jamaa una kimbelembele sana nahisi hata wakati wa kuzaliwa ulitanguliza miguu. jinga we

.............Laki tatu tunazopata zinatosha kila kitu na CHENJI inabaki, zinatosha
kula, kulala, kumpa dereva na kuishi Dodoma................

Yaani nimecheka kweli hapo. Huyu huyu Mtatiro nimjuaye ameenda na dereva huko? Aseme ukweli bana. Yeye ameenda na nyumba ndogo na kila mtu aliyepo huko anajua
 
Mshahara wa mtu ni laki mbili kwa mwezi, wakati wabunge wa bunge maalumu la katiba hulipwa laki tatu kwa uchakachuaji mawazo ya wananchi! Huu ni zaidi ya uhuni!
 
Kunamijitu nchi hii inawaza kuwa na mitumbo kama masufuria ya vicky na kufanya zinaa kwa pesa za walipa kodi.
 
hili jukwaa sijui kuna baadhi ni watoto wadogo sielewi ndugu mtatiro ametoa tahadhari na kuomba tumuunge mkono. ajabu watu mnaanza kumkejeli na kukashifu na ukute wewe unaekashifu ni mlalahoi. tumieni akili masuala kama haya ni ya kuunga mkono na kupinga kwa nguvu siyo kuleta ushabiki usiyokuwa na tija.

ukienda kule facebook vijana wamechangia kwa hekima sana.,, hapa vimejaa vivuli
 
Acha uzalendo wa kimaskini, laki tatu ni hela ndogo sana. Kupewa posho kubwa haina maana umekosa uzalendo ni lazma upate posho pamoja na mambo mengine familia yako waishi kwa raha.
''Umaskini si uzalendo''
 
mods ifikie mahala users tupimwe eligbility za kuendelea kutumia jukwaa kwa kutumia posts zetu. kuna mfumko wa watu wamelivamia jukwaa kwa kupost pumba na threads zenye ukakasi.
Mods msipofanya hivyo ntakuwa wa kwanza kuandamana humu!
 
Akilala hotel 50000/= Kula daily 40000/= dereva daily 60000/= vocha 10000/= kiwese 20000/=. Laki Tatu Nyingi sana, Hata hizo mtatiro azikatae
 
wabunge wa ccm wajinga tuu wanafikiria kujaza matumbo yao mafisadi wakubwa ccm kifo chao kimekaribia
 
.............Laki tatu tunazopata zinatosha kila kitu na CHENJI inabaki, zinatosha
kula, kulala, kumpa dereva na kuishi Dodoma................

Yaani nimecheka kweli hapo. Huyu huyu Mtatiro nimjuaye ameenda na dereva huko? Aseme ukweli bana. Yeye ameenda na nyumba ndogo na kila mtu aliyepo huko anajua

Hivi we jamaa ni Mtanzania kweli!! Au ndo hivyo viposho vyenu mnavyopata kwa kuchangia utumbo hapa JF
ndo vimejaza kinyesi kichwani mwako?? Acha u**ma. Tunaongelea masilahi ya Taifa sio UCCM hapa.Linda utu wako.
 
Viongozi wa siasa wanafiki nawe utakuwa kama wale walokataa posho kisha wakaanza kuchukua kimyakimya! Wewe kula kama mheshimiwa karidhia wewe chukua maana sisi bado tuko usingizini ila ipo siku tutaja amka tu na kudai yote wakati waliopochukuwa tukiwa sisi tuko usingizin!
 
Watu wa ajabu sana! Angeongea Lema au Lissu wasngekejeli! Mtatiro yupo right knachohtajka ni wananchi kumuunga mkono tu, lak 3 znatosha sana! Achen ushabiki wa vyama ndugu zangu ktk mambo muhimu
 
Hakuna asiependa hela wanaopinga huwa wanataka sifa za kijinga
 
Posho wanayolipwa Wajumbe wa Bunge la Katiba ni kubwa sana. Wangestahili walipwe Tshs.100,000 kwa siku. Wakumbuke fedha wanayotumia haipo kwenye bajeti ya Serikali ndiyo maana sasa hivi hakuna fedha zinazooenda kwa ajili ya maendeleo kwenye Halmashauri zote na sidhani kama Serikali itamudu kulipa mishahara ya Februari kutokana na ukata uliopo. Sasa hivi kwenye Halmashauri zote hakuna kazi inayofanyika kwa sababu hakuna fedha. Mfano Afisa Kilimo, Afisa elimu, Mhandisi wa Maji, Ujenzi wanatakiwa kwenda vijijni kwa ajili ya ufuatiliaji sasa hivi kwenye Halmashauri hakuna fedha za mafuta, fedha za matengenezo ya magari n.k. fedha zote zimeelekezwa kwenye mambo ya Bunge la Katiba. Nadhani sisi Watanzania sasa tuamke na kulipinga hili hata ikibidi kwa maandamano nchi nzima.
 
Back
Top Bottom