Muumini wa wapi huyo, hiyo ni cyndicate, hakuna cha uumini wowote hapo!Naona mnaingia kina kirefu cha maji ya mtoni
Kanisa katoliki sio taasisi za kutikisa kwa propaganda
Kanisa katoliki Lina weledi
Hebu jibuni hoja zao, sio kuibua makundi ya wahuni kuwapinga na kuwatishia
Jibu hoja zao
Nani aliuwa ?
Nani aliiba kura?
Nani wanateka na kuuwa watu?
Nani anahujumu uchaguzi?
Miili ya waliouwawa Iko wapi?
Kwanini Dar haina maji?
View attachment 3519234
Wahuni hawajui kujibizana kwa hoja kwa sababu walienda shule kunywa uji na kugombania finyango za nyama na si kusoma.Naona mnaingia kina kirefu cha maji ya mtoni
Kanisa katoliki sio taasisi za kutikisa kwa propaganda
Kanisa katoliki Lina weledi
Hebu jibuni hoja zao, sio kuibua makundi ya wahuni kuwapinga na kuwatishia
Jibu hoja zao
Nani aliuwa ?
Nani aliiba kura?
Nani wanateka na kuuwa watu?
Nani anahujumu uchaguzi?
Miili ya waliouwawa Iko wapi?
Kwanini Dar haina maji?
View attachment 3519234
nilivyoona tu hio rozari mpya na imewekwa kwa nje ili ionekane nikajua hii ni futuhi tu....Naona mnaingia kina kirefu cha maji ya mtoni
Kanisa katoliki sio taasisi za kutikisa kwa propaganda
Kanisa katoliki Lina weledi
Hebu jibuni hoja zao, sio kuibua makundi ya wahuni kuwapinga na kuwatishia
Jibu hoja zao
Nani aliuwa ?
Nani aliiba kura?
Nani wanateka na kuuwa watu?
Nani anahujumu uchaguzi?
Miili ya waliouwawa Iko wapi?
Kwanini Dar haina maji?
View attachment 3519234
atakuwa ni yeye na makovu usoni ya wizi ...ndio yeyeHuyo kwenye picha sio ertgrul kwwli?
Naona mnaingia kina kirefu cha maji ya mtoni
Kanisa katoliki sio taasisi za kutikisa kwa propaganda
Kanisa katoliki Lina weledi
Hebu jibuni hoja zao, sio kuibua makundi ya wahuni kuwapinga na kuwatishia
Jibu hoja zao
Nani aliuwa ?
Nani aliiba kura?
Nani wanateka na kuuwa watu?
Nani anahujumu uchaguzi?
Miili ya waliouwawa Iko wapi?
Kwanini Dar haina maji?
View attachment 3519234
huko mbali...sala ya Atukuzwe Baba .....ungeona kigugumizi cha mwakaHuyo pichani hata salamu maria Haijui
Ukimwambie basi Sali sala ya Mt Inyasi kabisa anajinyea