Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Waafrika angalieni waziri wa fedha wa nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani anavyosafiri akiwa nchini mwake.
Mkumbuke huyu ndiye namba mbili nchini mwake kuidhinisha mabilioni ya dola za kimarekani yanayogawia nchi maskini wahitaji kama sisi duniani kote kila mwaka.