gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Kuna mahali pametajwa kila jambo au unaweweseka.Sio kila jambo lazima na huku kwetu wafanye, huyo huyo akiwaambia wanaume muoane mnakataa na kumuona kichaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mahali pametajwa kila jambo au unaweweseka.Sio kila jambo lazima na huku kwetu wafanye, huyo huyo akiwaambia wanaume muoane mnakataa na kumuona kichaa
Sio kila jambo lazima na huku kwetu wafanye, huyo huyo akiwaambia wanaume muoane mnakataa na kumuona kichaa
kwenye "NAMBA 2" hapo umetupangaWaafrika angalieni waziri wa fedha wa nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani anavyosafiri akiwa nchini mwake.
Mkumbuke huyu ndiye namba mbili nchini mwake kuidhinisha mabilioni ya dola za kimarekani yanayogawia nchi maskini wahitaji kama sisi duniani kote kila mwaka.
View attachment 2350489View attachment 2350491