pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Wazungu pia wanajua siasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mla pundaUnataka kusema angekuwa yule mchunga Ng'ombe hali ingekuwaje?
[emoji38][emoji38][emoji38]Unataka kusema angekuwa yule mchunga Ng'ombe hali ingekuwaje?
Kukosa "Ufahamu" au Kuwa na Ufahamu.Si wqlikuja hapa Africa mkawafukuza kwa kukosa ufahamu.
Watu wengine hudhani maisha mazuri ni kuishi kifahari kumbe sivyo kabisa !! Unaweza ukaishi kifahari lakini ukawa huna amani moyoni mwako. Huyo mama wa marekani anaonekana ni mwenye amani tele ndani ya moyo wake na ndani ya akili yake. Mentality tumejiaminisha kwamba maisha ya juu ndio maisha ya furaha kumbe ni sivyo kabisa kabisa!Wazungu wana take easy sana, hapo tozoman angekodi ndege nzima ili aonekane ni kigogo.
Ving'ora mpaka ndani ya ndegeUnataka kusema angekuwa yule mchunga Ng'ombe hali ingekuwaje?
Kwa wanaoitaka furaha nawajulisha kwamba furaha huwa haiji kwa kuishi maisha ya kifahari bali furaha huja kwa kuishi Simple life. Amini usiamini lakini huo ndio UKWELI!Mtoza tozo anatumia first class na akiwa barabarani anaving'ora.
Duh !Ving'ora mpaka ndani ya ndege
Watu wengine hudhani maisha mazuri ni kuishi kifahari kumbe sivyo kabisa !! Unaweza ukaishi kifahari lakini ukawa huna amani moyoni mwako. Huyo mama wa marekani anaonekana ni mwenye amani tele ndani ya moyo wake na ndani ya akili yake. Mentality tumejiaminisha kwamba maisha ya juu ndio maisha ya furaha kumbe ni sivyo kabisa kabisa!
Kweli kabisa !!Ukitaka kuwatumikia watu jishushe kwenye hadhi yao, hiki ndo Mwl. Nyerere alikihubiri na kukiishi ndo maana aliishi maisha ya kawaida sana, aliwapenda watanzania na watanzania walimpenda maana walimwona kama mwenzao, hadi tulikuwa tunaitana ndugu, lakini siku hizi tunaitana muheshimiwa.
Ndio maana tunatakiwa tuige vitu vizuri kwa mustakabali wa maisha yetu haitoshi kuiga kuvaa suti na tai pekee !!! Na kula kwa kutumia vijiko na uma tujifunze kuishi maisha ya kawaida hata kama una wadhifa mkubwa maana huo wadhifa haupndoi ukweli kwamba wewe ni binadamu tu kama binadamu wengine !!!Sio kila jambo lazima na huku kwetu wafanye, huyo huyo akiwaambia wanaume muoane mnakataa na kumuona kichaa