Mtazameni mgawa fedha mkubwa duniani anavyosafiri nchini mwake

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Waafrika angalieni waziri wa fedha wa nchi yenye uchumi mkubwa zaidi duniani anavyosafiri akiwa nchini mwake.

Mkumbuke huyu ndiye namba mbili nchini mwake kuidhinisha mabilioni ya dola za kimarekani yanayogawia nchi maskini wahitaji kama sisi duniani kote kila mwaka.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…