Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Parokiani
Basi kwa wakala wa mpesawamefunga.
nakusikiliza binamu....Niambie binamu
Unanisikiliza mimi tena na wewe ndio ulianza kuniita binamunakusikiliza binamu....
Duuh kwahiyo sisi wanawake ndo tunajua tulitendalo ila wanaume hawajui walitendalo?Wangekuwa wanajua walitendalo wasingesema hivyo kimsingi tuwasamehe na tusichoke kuwaombea[emoji1666][emoji1666]
Tamaduni za kiafrika haziruhusu na hazitambui mwanamke kuchepuka ila vichwa ngumu kama nyinyi mnaoishi kwa tamaduni za kimagharibi mnaweza kuchepuka kama mkipata bahati ya kuolewa. So Ukicheka chepuka at your own risk.
duh mkuu tamaduni ziko sahihi na baadhi ya vipengele viliwekwa kwa mahitaji ya wakati huo,na pia tamaduni zinabadilika kwa kadiri uhitaji unavyo ongezeka au kupungua.Sifuati Tamaduni ambazo walikaa wanaume wachache wapumbavu na washirikina wakaamua kutunga sheria zao wenyewe ambazo zitampendelea mwanaume na zitamkandamiza mwanamke.
duh mkuu tamaduni ziko sahihi na baadhi ya vipengele viliwekwa kwa mahitaji ya wakati huo,na pia tamaduni zinabadilika kwa kadiri uhitaji unavyo ongezeka au kupungua.
Mimi nikajua una uelewa na exposure kumbe I was totally wrong.Tamaduni? Kwani Tamaduni ni kitu gani? Kwangu mimi Tamaduni zozote zile ni takataka tu hasa za Africa mimi naishi kwa kufuata Maandiko tu. Sifuati Tamaduni ambazo walikaa wanaume wachache wapumbavu na washirikina wakaamua kutunga sheria zao wenyewe ambazo zitampendelea mwanaume na zitamkandamiza mwanamke.
hizo tamaduni licha ya kuwa ni za kipumbavu,na wengine wanaziona takataka ndizo ambazo zinatufanya leo tutofautiane na wazungu,na zinatufanya pia kuwa na nidhamu na heshima kwa wengi na mwisho ndizo zilizotufikisha hapa tuliopo.Fafanua zaidi mkuu
😂😂😂😂 Wanawake mmeumbwa kusamehe na kuombea jaman hili halina ubishi since back in the dayDuuh kwahiyo sisi wanawake ndo tunajua tulitendalo ila wanaume hawajui walitendalo?
Mimi nikajua una uelewa na exposure kumbe I was totally wrong.
FYI the so called maandiko nayo yanatokana na tamaduni. Tena hayo maandiko yana mfumo dume wa kutosha. Sasa unavyoshupaza shingo kujifanya unashikilia maandiko unaonekana mtu wa ajabu zaidi.
Nidhamu? Heshima? Yaani mwanamke kusalitiwa na kunyanyaswa kwenye ndoa na mume wake ndo heshima hiyo au ndo nidhamu hiyo? Kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa.hizo tamaduni licha ya kuwa ni za kipumbavu,na wengine wanaziona takataka ndizo ambazo zinatufanya leo tutofautiane na wazungu,na zinatufanya pia kuwa na nidhamu na heshima kwa wengi na mwisho ndizo zilizotufikisha hapa tuliopo.
Imeandikwa wapi??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wanawake mmeumbwa kusamehe na kuombea jaman hili halina ubishi since back in the day
Wewe ni muslim au christian?Imeandikwa wapi??
Christian.Wewe ni muslim au christian?
That’s nice utafundishwa vizuri ukiwa unafanya mafundisho ya ndoa relax muda ukifika utaelewa my statement..Christian.