Mtazamo binafsi

Mtazamo binafsi

Wangekuwa wanajua walitendalo wasingesema hivyo kimsingi tuwasamehe na tusichoke kuwaombea[emoji1666][emoji1666]
Duuh kwahiyo sisi wanawake ndo tunajua tulitendalo ila wanaume hawajui walitendalo?
 
Tamaduni? Kwani Tamaduni ni kitu gani? Kwangu mimi Tamaduni zozote zile ni takataka tu hasa za Africa mimi naishi kwa kufuata Maandiko tu. Sifuati Tamaduni ambazo walikaa wanaume wachache wapumbavu na washirikina wakaamua kutunga sheria zao wenyewe ambazo zitampendelea mwanaume na zitamkandamiza mwanamke.
Tamaduni za kiafrika haziruhusu na hazitambui mwanamke kuchepuka ila vichwa ngumu kama nyinyi mnaoishi kwa tamaduni za kimagharibi mnaweza kuchepuka kama mkipata bahati ya kuolewa. So Ukicheka chepuka at your own risk.
 
Sifuati Tamaduni ambazo walikaa wanaume wachache wapumbavu na washirikina wakaamua kutunga sheria zao wenyewe ambazo zitampendelea mwanaume na zitamkandamiza mwanamke.
duh mkuu tamaduni ziko sahihi na baadhi ya vipengele viliwekwa kwa mahitaji ya wakati huo,na pia tamaduni zinabadilika kwa kadiri uhitaji unavyo ongezeka au kupungua.
 
Fafanua zaidi mkuu
duh mkuu tamaduni ziko sahihi na baadhi ya vipengele viliwekwa kwa mahitaji ya wakati huo,na pia tamaduni zinabadilika kwa kadiri uhitaji unavyo ongezeka au kupungua.
 
Tamaduni? Kwani Tamaduni ni kitu gani? Kwangu mimi Tamaduni zozote zile ni takataka tu hasa za Africa mimi naishi kwa kufuata Maandiko tu. Sifuati Tamaduni ambazo walikaa wanaume wachache wapumbavu na washirikina wakaamua kutunga sheria zao wenyewe ambazo zitampendelea mwanaume na zitamkandamiza mwanamke.
Mimi nikajua una uelewa na exposure kumbe I was totally wrong.
FYI the so called maandiko nayo yanatokana na tamaduni. Tena hayo maandiko yana mfumo dume wa kutosha. Sasa unavyoshupaza shingo kujifanya unashikilia maandiko unaonekana mtu wa ajabu zaidi.
 
Fafanua zaidi mkuu
hizo tamaduni licha ya kuwa ni za kipumbavu,na wengine wanaziona takataka ndizo ambazo zinatufanya leo tutofautiane na wazungu,na zinatufanya pia kuwa na nidhamu na heshima kwa wengi na mwisho ndizo zilizotufikisha hapa tuliopo.
 
Sijakataa maandiko ni tamaduni lakini hizo ndizo tamaduni Mungu anazotaka na siyo tamaduni zilizoanzishwa na mababu na kwenye maswala ya mfumo dume usifananishe maandiko na tamaduni

Kwa sababu maandiko hakuna sehemu yanamruhusu mwanaume kumpiga, kumyanyasa, kumsaliti mke au kuoa mke zaidi ya mmoja (kwa upande wa wakristo) lakini tamaduni zinaruhusu yote hayo tena zinataka mwanamke asifurahie ndoa bali ahakikishe mwanaume ndo anafurahia ndoa kwahiyo hivyo ndivyo mnavyotaka?
Mimi nikajua una uelewa na exposure kumbe I was totally wrong.
FYI the so called maandiko nayo yanatokana na tamaduni. Tena hayo maandiko yana mfumo dume wa kutosha. Sasa unavyoshupaza shingo kujifanya unashikilia maandiko unaonekana mtu wa ajabu zaidi.
 
hizo tamaduni licha ya kuwa ni za kipumbavu,na wengine wanaziona takataka ndizo ambazo zinatufanya leo tutofautiane na wazungu,na zinatufanya pia kuwa na nidhamu na heshima kwa wengi na mwisho ndizo zilizotufikisha hapa tuliopo.
Nidhamu? Heshima? Yaani mwanamke kusalitiwa na kunyanyaswa kwenye ndoa na mume wake ndo heshima hiyo au ndo nidhamu hiyo? Kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa.
 
Back
Top Bottom