Wewe ndo umenena sahihi,maana watu wengi wanakzana kuwaona watanzania wabishi au akili wamekopesha kumbe shida ni serikali iliyopita,hata baadhi ya viongozi walioko sasa na wenyewe walikuwa na msimamo huo huo,leo tunalaumu watu haiwezekaniTukubali tukatae Sumu aliyoacha amepandikiza mwendazake ndo inayolitafuna taifa kwa Sasa kuhusiana na mtazamo hasi juu ya chanjo ya Korona. Kila mtu anakumbuka jinsi Magufuli alivyokuwaga na ushawishi, hivyo Msimamo wake juu ya chanjo ya Korona kabla ya kifo chake umebaki mioyoni na akilini mwa watu kiasi kwamba Hadi leo asilimia kubwa ya watqnzania hawana Imani na chanjo Hizi.
Kama angekuwa ameamua watu wachanjwe, wangechanjwa tu watake wasitake, alikuwa ana njia zake za kutimiza analolitaka...JWTZ wangeanza kupita nyumba kwa nyumba kuchanjaš¤£Mkuu hili suala ni kweli Ila hata Kama Magufuli angesema chanjo zinafaa, bado Kuna watu wengi wangezikataa.
Nakupa mfano. Marekani na Europe Kuna watu wengi sana wanazikataa chanjo, hapo napo utasema walimsikiliza Magufuli?
Hili suala naona watu wanampaisha tu Magufuli
Swala la chanjo halijakaa sawa kuna maswali mengi yanayohitaji majibu,Tukubali tukatae Sumu aliyoacha amepandikiza mwendazake ndo inayolitafuna taifa kwa Sasa kuhusiana na mtazamo hasi juu ya chanjo ya Korona. Kila mtu anakumbuka jinsi Magufuli alivyokuwaga na ushawishi, hivyo Msimamo wake juu ya chanjo ya Korona kabla ya kifo chake umebaki mioyoni na akilini mwa watu kiasi kwamba Hadi leo asilimia kubwa ya watqnzania hawana Imani na chanjo Hizi.
Sayansi gani hiyo inashindwa na maneno tena ya marehemu. Sayansi ijipiganie kwa ufanisi. Vinginevyo maneno ya marehemu ya ujasiri ni chanjo toshaTukubali tukatae Sumu aliyoacha amepandikiza mwendazake ndiyo inayolitafuna taifa kwa Sasa kuhusiana na mtazamo hasi juu ya chanjo ya Korona. Kila mtu anakumbuka jinsi Magufuli alivyokuwaga na ushawishi.
Hivyo Msimamo wake juu ya chanjo ya Korona kabla ya kifo chake umebaki mioyoni na akilini mwa watu kiasi kwamba hadi leo asilimia kubwa ya Watanzania hawana Imani na chanjo hizi.
Kiswahili cha wapi hicho? ... bintJana rais samia bin hassan wakt wa hafla ya mapokezi ya ndege kutoka canada, alikuwa amevaa mask kama kawa na wakt alichanjwa hadharan kabisa.
Tuliwaambia magufuli alikuwa nabii mnagoma.
Leo hii ulimwengu wote umefarakana kuhusu hii takataka,nayeye alizungumza haya mwaka na miezi iliyopita.
Swala la chanjo halijakaa sawa kuna maswali mengi yanayohitaji majibu,
Naamini Serikali ya awamu ya tano ilikuwa inatupeleka katika kujenga herd immunity na ndio iliyotuvusha awali.
- Unaambiwa kuchanjwa hakukuzuii kupata Corona bado kuna uwezekano wa kupata. Sasa swali ni kwanini tuchanje?
- Hata baada ya kuchanjwa unashauriwa kuvaa barakoa - why?
- Chanjo uliyopewa haizuii new variants wa Corona kukudhuru. So inamaana kila strain mpya ya Korona inabidi upate chanjo yake?
Kama tunavyoshukuru gaidi kukaa mahabusu.Hamna nabii dhalimu, tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule mtu muovu bila damu kumwagika.