Kwahiyo wanaopinga huko Marekani na Ulaya wooote Magufuli aliwapandikiza ushawishi wake? Basi ana akili zaidi.Wewe ndo umenena sahihi,maana watu wengi wanakzana kuwaona watanzania wabishi au akili wamekopesha kumbe shida ni serikali iliyopita,hata baadhi ya viongozi walioko sasa na wenyewe walikuwa na msimamo huo huo,leo tunalaumu watu haiwezekani
Kuficha data au laa ukiacha ushabiki wa kisiasa na chuki binafsi utaelewa ninachokielezea. Kwa msongamano wa kwenye madaladala, sokoni. Mashuleni bila kinga wala tahadhari ukilinganisha na idadi ya vifo utakuwa hujielewi kutambua kuwa herd immunity ndio iliyotuvusha
Kabisa maana ninachozungumza kinakukera.Unahemkwa
Mungu yupi unajua alikufaje?
Kumbe alie authorize heard immunity itumike nchini Vs vaccinations ni nani?Kwahiyo ni herd immunity na sio Magufuli tena!?
Kumbe alie authorize heard immunity itumike nchini Vs vaccinations ni nani?
Hiyo doz si kwa ajiri ya corona mkuu soon utaona majibu yake baada ya miaka kadhaa huko nikilio na kusaga meno! Chajo gani unachanja bado tu unaweza kuambukizwa sasa unachanja ili iweje! Wazungu wanainyoosha africa mmezid kuzalianaSwala la chanjo halijakaa sawa kuna maswali mengi yanayohitaji majibu,
Naamini Serikali ya awamu ya tano ilikuwa inatupeleka katika kujenga herd immunity na ndio iliyotuvusha awali.
- Unaambiwa kuchanjwa hakukuzuii kupata Corona bado kuna uwezekano wa kupata. Sasa swali ni kwanini tuchanje?
- Hata baada ya kuchanjwa unashauriwa kuvaa barakoa - why?
- Chanjo uliyopewa haizuii new variants wa Corona kukudhuru. So inamaana kila strain mpya ya Korona inabidi upate chanjo yake?
Hapana. Approach ya Serikali ndio imeleta haya mambo.Tukubali tukatae Sumu aliyoacha amepandikiza mwendazake ndiyo inayolitafuna taifa kwa Sasa kuhusiana na mtazamo hasi juu ya chanjo ya Korona.
Asante kwa kuuliza maswali ya maana, isipokuwa majibu yapo tena yanafahamika tangu muda mrefu.awamu ya tano ilikuwa inatupeleka katika kujenga herd immunity na ndio iliyotuvusha awali.
- Unaambiwa kuchanjwa hakukuzuii kupata Corona bado kuna uwezekano wa kupata. Sasa swali ni kwanini tuchanje?
- Hata baada ya kuchanjwa unashauriwa kuvaa barakoa - why?
- Chanjo uliyopewa haizuii new variants wa Corona kukudhuru. So inamaana kila strain mpya ya Korona inabidi upate chanjo yake?