Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzandiki tu midomo ya diamond hiyoKama kuna ukweli hivi
Yah ni kweli.Binadamu wote ni sawa
Mwacheni mtoto afanane jamani si baba wa kaka zake huyo?.
Halafu haya mambo ya watoto sio ya kufuatilia sana yanatia presha ati bora kujinyamaziaga tu.
Anaejua baba wa mtoto ni mama pekee.
Wengine tunachangia humu huku moyoni tunawaza wale tuliowaacha home ni wetu kweli?
Basi tu kitanda hakizai haramu tunaleaga tu itajulikana mbinguni
Kitanda hakizai haramu kama ni mkeo, lakini kwa hawara hapana aisee. Hata kwa mke kama kuna ushahidi usiotia shaka nae hatua lazima zichukuliwe tu. Naweza toa adhabu ya kuwa utabakia mke wangu ukitaka lakini iwe wazi kuwa huyo mtoto sio wangu na wala asitumie jina langu. Ngumu lakini nitaimeza akitakaBinadamu wote ni sawa
Mwacheni mtoto afanane jamani si baba wa kaka zake huyo?.
Halafu haya mambo ya watoto sio ya kufuatilia sana yanatia presha ati bora kujinyamaziaga tu.
Anaejua baba wa mtoto ni mama pekee.
Wengine tunachangia humu huku moyoni tunawaza wale tuliowaacha home ni wetu kweli?
Basi tu kitanda hakizai haramu tunaleaga tu itajulikana mbinguni
Almasi umeaibisha wamanyema wenzioYah ni kweli. Ukute hata wewe sio mtoto wa babaako
Iii yeuwuiiiiiiiPumzika kwa amani Bro Ivan ila nimepata kujiuliza maswali mengi inakuwaje mtoto huyu wa Diamond kila anavyozidi kukua anakuwa kama analeta picha ya Ivan?
![]()
haaaaAlmasi nae ilikuaje akaacha visichana vibichi akaangukia huko huko kwa Wastaafu Wa Afrika Mashariki?
[emoji30][emoji30][emoji30]taratibu mkuuAlmasi nae ilikuaje akaacha visichana vibichi akaangukia huko huko kwa Wastaafu Wa Afrika Mashariki?