Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,382
- 1,881
Hawafanani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ikipita miaka miwili na Mond bado hajapiga mimba nyingine na kwa jins yule mganda anavyopenda kuzaa tutajua kuwa jamaa alikuwa anasaidiwa tu marehemu aliyefia South Africa, msiba wakaomboleza Bongo na mazishi kufanyika kule Uganda (R.I.P) IvanPumzika kwa amani Bro Ivan ila nimepata kujiuliza maswali mengi inakuwaje mtoto huyu wa Diamond kila anavyozidi kukua anakuwa kama analeta picha ya Ivan?
![]()
Hii biology ya nchi gani??Kibaiolojia nilisikia mwanaume aliyetembea na mwanamke mda mrefu huwa zile mbegu za uzazi zinabaki, ko nahisi hayo ni matokeo yake tu
Pumzika kwa amani Bro Ivan ila nimepata kujiuliza maswali mengi inakuwaje mtoto huyu wa Diamond kila anavyozidi kukua anakuwa kama analeta picha ya Ivan?
![]()
Mngeweka na picha ya almasi sasasPumzika kwa amani Bro Ivan ila nimepata kujiuliza maswali mengi inakuwaje mtoto huyu wa Diamond kila anavyozidi kukua anakuwa kama analeta picha ya Ivan?
![]()
Dogo sijui anafurahia nini pale maana bora ungesema mambo flani amazing. brek pMmmmmh labda ndio maana dogo hajapata promo kama yule
Kwa wastaafu???Almasi nae ilikuaje akaacha visichana vibichi akaangukia huko huko kwa Wastaafu Wa Afrika Mashariki?
Binadamu wote ni sawa
Mwacheni mtoto afanane jamani si baba wa kaka zake huyo?.
Halafu haya mambo ya watoto sio ya kufuatilia sana yanatia presha ati bora kujinyamaziaga tu.
Anaejua baba wa mtoto ni mama pekee.
Wengine tunachangia humu huku moyoni tunawaza wale tuliowaacha home ni wetu kweli?
Basi tu kitanda hakizai haramu tunaleaga tu itajulikana mbinguni
Ya duniani mkuuHii biology ya nchi gani??