Mtazamo: Hivi kwanini mtoto huyu anafanana sana na Ivan?

jamani hata formation ya shingo na mabega haiwezi kuwa ya muha hiyo ni nakala ya ivan toka uganda kabisa.
 
Yah ni kweli.
 
Kibaiolojia nilisikia mwanaume aliyetembea na mwanamke mda mrefu huwa zile mbegu za uzazi zinabaki, ko nahisi hayo ni matokeo yake tu
 
Wakati inatungwa kulikuwa na mabadiliko ya ivan so don't be surprised. Hata hivyo huyo malaya mwenyewe unamuona je? She is money minded
 
Kitanda hakizai haramu kama ni mkeo, lakini kwa hawara hapana aisee. Hata kwa mke kama kuna ushahidi usiotia shaka nae hatua lazima zichukuliwe tu. Naweza toa adhabu ya kuwa utabakia mke wangu ukitaka lakini iwe wazi kuwa huyo mtoto sio wangu na wala asitumie jina langu. Ngumu lakini nitaimeza akitaka
 
Anafanana na ivan huyu mtoto kawazidi hadi kaka zake
 
Ngoja alee jamn kuitwa baba cyo lazima mtoto awe wako kabsa
labda mond ni baba wa mboga
 
Ndio maana kapoteza maisha, usicheze na Freemasons.
 
Uwiiiii auwiuii
Pumzika kwa amani Bro Ivan ila nimepata kujiuliza maswali mengi inakuwaje mtoto huyu wa Diamond kila anavyozidi kukua anakuwa kama analeta picha ya Ivan?
Iii yeuwuiiiiiii
 
Mdomo wa Mond sura ya Ivan. Nani alitoboa maskio? Au walipga siku moja? U women are damned.
 
Wanawake MUNGU anawaona nyie endeleeni kumechisha rangi za helen, gaun, pochi na viatu kuliko sura za watoto na babazao
 
Huyo mtoto amefanana na kaka zake, sasa kwa kua kaka zake wamefanana na baba yao, nae ndo hivyo tena [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…