Mtazamo: Hivi kwanini mtoto huyu anafanana sana na Ivan?

DNA ZIPO...DOGO AKAPIME....MSITUMIE MATE ANGEKUWA KASHACHOMOKA MAPEMa...Dogo mwenyewe ni player
 
Nyie Baba Zenu Mnawajua? Mnauhakika Mmefanana Na Baba Zenu? Kwan Watoto Wenu Wote Mmefanana Nao? Hao Ambao Hamna Uhakika Km Mmefanana, Je Mshawah Kwenda Pima DNA? Au Mnajifurahsha Kwa Kumdhalilisha Huyo Mtoto Hapo?
 
Pumzika kwa amani Bro Ivan ila nimepata kujiuliza maswali mengi inakuwaje mtoto huyu wa Diamond kila anavyozidi kukua anakuwa kama analeta picha ya Ivan?
Mkuu ikipita miaka miwili na Mond bado hajapiga mimba nyingine na kwa jins yule mganda anavyopenda kuzaa tutajua kuwa jamaa alikuwa anasaidiwa tu marehemu aliyefia South Africa, msiba wakaomboleza Bongo na mazishi kufanyika kule Uganda (R.I.P) Ivan
 
Hakuna kitu rahisi kama kum.tia mke uliezaa nae watoto watatu...hata kama ameolewa wp
 
hata kwa tiffa mlisema hivi hivi
 
uchochezi haujawahi kumuacha mtu salama....hayo ni mambo ya genetics kuyajibu yanahitaji umakini mkubwa....
 
Mtoto aba midomo ya Kwetu Tandale kabisa huyu
 
baba ake

hapo ndipo utajua diamond hakai na yule mama kwa mapenzi, nahisi katika baadhi ya mambo zari ana shea
 
Pumzika kwa amani Bro Ivan ila nimepata kujiuliza maswali mengi inakuwaje mtoto huyu wa Diamond kila anavyozidi kukua anakuwa kama analeta picha ya Ivan?
Mngeweka na picha ya almasi sasas
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna ubaya gani akifanana na baba yake? Ivan ndio baba yake. Hata picha huoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…