Mkuu kasingo nakupongeza kwa kuwa mkweli kwenye jambo la kitaifa,hongeraPolepole ndugu yangu hata mie ni CCM kama wewe, lakini ukweli suala la ukandamizaji wa demokrasia Zanzibar ni suala ambalo ni gumu sana kulitetea kwa kutumia akili timamu, let us be honest! utazunguka kote huko! na ni ujinga kudhani kuwa MCC haitaharibu uhusiano wetu na USA
Mtaisoma namba na hapo bado hadi wahisani wote wapige pini misaada yao yote na bajeti yenu ndio inahitaji 40% ya fedha za kigeni ( wafadhili )sijui mtaishi vipi,kisa sheni?Well said brother.
Hizi ni double standard za Mabeberu wa nchi za Magharibi.
Nani mwenye demokrasia kati ya Tanzania na Misri.
Nakuona kuwadiTangu lini muajiriwa wa kitengo akaipinga serikali yake?? Je tunafahamu umuhimu wa fedha za kigeni kwenye mzunguko?? Je unafahamu mataifa ya nje yakiacha kutoa nsaada thamani ya shilingi itashuka dhidi ya dola?? Je unafahamu uwezo wa nchi yetu kuuza nje ili kupata fedha za kigeni upo chini sana kiasi kwamba misaada ya wahisani ndio inaongeza fedha za kigeni kwenye mzunguko wetu, je unafahamu hali hii ikiendelea ya kukosa misaada ya wahisani bidhaa za nje zitakuwa ni ghali sana kiasi cha watanzania wengi kushindwa kuzipata?
Je wajua asilimia 50+ ya bajeti inahitaji fedha za wahisani, je wajua kukiwa na mdororo wa kiuchumi hayo makusanyo yatashuka hadi aibu? Yapo mengi ila ngoja nichangie taifa hapa kwa kunywa castle lager ya baridi
nani aliomba?Wakati mnaenda kuuomba mlikuwa mnafikiria ni nini kwani na leo hii mnasema , "....wakati wa kubembeleza misaada ume.......!!??"
Mkuu kama ulisoma std one miaka ya 80 utakumbuka kulikuwa na kitabu cha jifunze kusoma na kuandika kilikuwa na hadithi ya sungura isemayo SIZITAKI MBICHI HIZIWakati mnaenda kuuomba mlikuwa mnafikiria ni nini kwani na leo hii mnasema , "....wakati wa kubembeleza misaada ume.......!!??"
Lkn amiri jeshi ni mmoja tum
msingi wa MCC NI UTAWALA BORA. ukielewa ni nini utaona sababu ya kusitishwa kwa msaada huo. ni sawa na AMRI YA UPENDO KWA WAKRISTU kila kitu chema chahusika. MIMI NASIKITIKA KUUKOSa.JE HAWAELEWI ZANZIBAR NI ZANZIBAR NA TANGANYIKA NINTANGANYIKA.
Kwa hiyo tukae kiwetewete tusubiri misaada?
Uchu wa madaraka wa sheni umeliigiz taifa gizani,lawama zote imwendee jechaa na sheniJamani tutofautishe maamuzi ya vyama na maamuzi ya nchi yaani nikiwa na maana ya maamuzi ya wananchi
Well said brother.
Hizi ni double standard za Mabeberu wa nchi za Magharibi.
Nani mwenye demokrasia kati ya Tanzania na Misri.
Sasa kwanini unabeza wanaosema tukazane ili tujitegemee...Umeenda mbali huko kwenye matangazo ya vyoo kutegemea wahisani halafu watu humu wakijidai kuwa tutaweza kwa kutegemea wanyamapori, madini n.k, huu ni Uzuzu kwani hata vita tu ya kupambana na majangili kwa wanyama wetu tunategemea Wahisani, madini waamuzi wa bei ni hao hao wanaoitwa wahisani wakati mwingine watz tuacheni mbwembwe...
Kichwni mwako ni zero kubwaaaaaatufike sehemu tujikubali,,ipo siku watatuonea wivu,,ndipo misaada yao haitakuwa na mashart makali,,mcc safar njema natambua ipo siku mtarud kwa jina lingine namsipe nafas kirahis kama mlivyo ingia.
hahahahaa wevwakati wa mapinduzi na juzi aliyepigiwa mizinga 21 ndiye amiri jeshi wa zazibar. mengine ni mazingaumbwe tu.Lkn amiri jeshi ni mmoja tu
Ccm hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeMtizamo wangu pia nikuwa, Tanzania siyo kisiwa, kiasi cha kujifanya tunaweza kujitegemea. Tuwe wakweli juu ya hili. Tusidhani ni hili tu bali litakwenda kutuharibia hata mahusiano yetu mengine. Mimi ninaamini Tanzania tukiingia wenyewe mkataba huo na sasa tumeshindwa masharti hivyo tunastahiki kufanyiwa hivyo wala yusijifari kwa kunakili maneno ya mwakimu ili kutupa public support. Miradi mingi itasimama na sisi hatuna ujanja wa kuiendeleza. Mimi ninamuomba Mh. Rais Magufuli asidanganyike na washauri wasioitakia mema nchi hii . Ajitajihidi kushughulkia suala hili kwa hekima kwakuwa ninajuaana hekima hiyo. Fedha hizo za MCC tunazihitaji sana kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote ule, ukizingatia chama chetu kimeahidi mambo mengi kuwafanyia wananchi. Mwalimu pamoja na kauli zake lakini aliizita nchi hizi ni giant kama hatutashikana nazo sisi wadogo tuta umia. Hivyo huo ndy wito wangu. Tuache kupotosha ukwelu
Umesahau ile hotuba ya magu pale karimjee hall wakati anaongea na wazee wa dsm kuwa yeye ndiye amiri jeshi mkuu na wajibu wake ni kuilinda zenji na atakaye leta fyoko fyoko atakiona cha mtema kuni?hahahahaa wevwakati wa mapinduzi na juzi aliyepigiwa mizinga 21 ndiye amiri jeshi wa zazibar. mengine ni mazingaumbwe tu.