Mtazamo: Kwanini Ufaransa atachukua ubingwa


Abui timu yenye maniga wengi ni ngumu kubeba ndoo...kwanza hiyo france sijaona wameonyesha mpira wa maana..yani wamepita kibahati bahati sana...siku wamekutana na albiceleste walikuwa wanafanya mashambulizi ya kushitukiza..yaya nkoi..wanatoka amini maneno yangu.
 
Toa utaalam wako wa kiufundi kwani Maniga wanazuia nini France wasichukue ubingwa, kucheza mipira ya kushtukiza hiyo ni mbinu ktk mpira mnapokutana na timu inayojua kuuchezea mpira walipokutana na Argentina wasingeweza kufunguka kwa kumuhofia Messi na wenzake waliopo mbele pale ambao wanajua kucheza na mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…