BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Habarini wanajf, karibuni tujadili hili kwa kina ikizingatiwa tupo katika wakati wa Kombe la Dunia.
Kwa mtazamo wangu Ufaransa ndio timu itakayochukua Ubingwa na sababu kubwa ni kikosi walichokiandaa kilichosheheni wachezaji wenye uzoefu wakicheza ligi mbalimbali Duniani, pia Kocha Deschamps ameweza kukipangilia kikosi na kinacheza kiufundi zaidi bila kuangalia umaarufu wa mchezaji mmojammoja.
NAWASILISHA
Abui timu yenye maniga wengi ni ngumu kubeba ndoo...kwanza hiyo france sijaona wameonyesha mpira wa maana..yani wamepita kibahati bahati sana...siku wamekutana na albiceleste walikuwa wanafanya mashambulizi ya kushitukiza..yaya nkoi..wanatoka amini maneno yangu.