Mtazamo: Kwanini Ufaransa atachukua ubingwa

Mtazamo: Kwanini Ufaransa atachukua ubingwa

Abuu Said

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2015
Posts
4,010
Reaction score
4,763
Habarini wanajf, karibuni tujadili hili kwa kina ikizingatiwa tupo katika wakati wa Kombe la Dunia.
Kwa mtazamo wangu Ufaransa ndio timu itakayochukua Ubingwa na sababu kubwa ni kikosi walichokiandaa kilichosheheni wachezaji wenye uzoefu wakicheza ligi mbalimbali Duniani, pia Kocha Deschamps ameweza kukipangilia kikosi na kinacheza kiufundi zaidi bila kuangalia umaarufu wa mchezaji mmojammoja.
NAWASILISHA
 
Maandalizi ya England ni ya hali ya juuu. Nafasi yoyote watakayochukua kwao ni sawa na kuchukua kombe LA dunia
 
Ufarasa kombe lao hili!
Na wataendelea kusumbua sana hata world cup zijazo maana wanavipaji haswaa tena umri bado mdogo!
 
Kwa mtazamo wangu, vikosi vingi vilivyoshiriki FWC 2018 vimekosa WASHAMBULIAJI makini na wenye uhakika wa kazi zao...Ufaransa ni mojawapo.

Final: Belgium vs England
Champ: ____________
Sawa subiri tuone!
 
Habarini wanajf, karibuni tujadili hili kwa kina ikizingatiwa tupo katika wakati wa Kombe la Dunia.
Kwa mtazamo wangu Ufaransa ndio timu itakayochukua Ubingwa na sababu kubwa ni kikosi walichokiandaa kilichosheheni wachezaji wenye uzoefu wakicheza ligi mbalimbali Duniani, pia Kocha Deschamps ameweza kukipangilia kikosi na kinacheza kiufundi zaidi bila kuangalia umaarufu wa mchezaji mmojammoja.
NAWASILISHA
mpira unachezwa uwanjani.
mpira ni mchezo wa makosa....unaweza kujiona bora ukifanya makosa unakula mabao!
 
Habarini wanajf, karibuni tujadili hili kwa kina ikizingatiwa tupo katika wakati wa Kombe la Dunia.
Kwa mtazamo wangu Ufaransa ndio timu itakayochukua Ubingwa na sababu kubwa ni kikosi walichokiandaa kilichosheheni wachezaji wenye uzoefu wakicheza ligi mbalimbali Duniani...NAWASILISHA
Same applies to Belgium. Just wait and see. I think Belgium watamng'oa Ufaransa mapemaaaa
 
Mpaka sasa Belgium wameshaonesha wao ndiyo wenye kikosi chenye nguvu zaidi. Njia waliyoipitia ni ngumu ukilinganisha na timu zingine na bado wameweza kumudu. Utabiri wangu ni kuwa Belgium watamng'oa France na watacheza fainali na Croatia. Bingwa atakuwa Belgium!
 
Belgium wamepata shida katika mechi zao kufanikisha ushindi, wakati ufaransa kwao kila mechi ilikua kama mkate kwenye chai. Belgium atapigwa kirahisi mnoo
 
Mshindi kati ya France na Belgium ndo bingwa
Fainali nategemea Belgium na Croatia
Belgium anaenda kubeba ndoo
UFARANSA imekamilika kila idara Belgium wanategemea watu wachache waliokua mbele Hazard, De brune, Lukaku hicho ndo kitawagharimu
 
Kwa mtazamo wangu, vikosi vingi vilivyoshiriki FWC 2018 vimekosa WASHAMBULIAJI makini na wenye uhakika wa kazi zao...Ufaransa ni mojawapo.

Final: Belgium vs England
Champ: ____________
Ufaransa wana uwezo wa kubadilisha mchezo na kutumia mbinu mbadala wanacheza kitimu wamekamilika idara zote
 
Back
Top Bottom