Mtazamo: Mfululizo wa matukio huu si wa bure na huenda watu wanaandaa justification kabla ya maamuzi magumu kunusuru nchi

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Kutokana na mwenendo wa mambo, kila siku nimekuwa nikiwaza hivi kwasababu kuna maamuzi yakifanyika, ni lazima kwanza kuwe na justification ili dunia ielewe ni kwanini watu fulani walifchukua maamuzi hayo magumu.

Kanisa moja kubwa sana hapa nchini, wanajenga picha fulani, na kule Mahabusu yule Simba wa Yuda kashusha waraka wa kimkakati huku yule Askofu machachari nae akitema nyongo bila kusahau Nondo za Bwana Slow Slow.

Kwa kifupi, kuna jambo liinatengenezwa au linajitengeneza, ila kwa ulevi wa madaraka, wahusika ama hawaoni au wanaona ila wanapuuza kwa ulevi tu wa madaraka.

Kote wanakofanyaga maamuzi magumu, huwa kuna sababu, japo Jumuiya za kimataifa na kikanda, huwa zinajitokeza kupinga na kulaani. Hata hivyo, sometimes hufanya hivyo kuzuga tu ikitokea watawala walikuwa wamejisahau sana kwa kutenda maovu dhidi ya ubinadamu bila kusahau watawala kujihusisha na wizi na ufisadi wa kupitilza katika nchi.

Hivyo, kwa mtazamo wangu, naamini jamaa wanaangalia tu kabla hawajasema sasa basi.

Tambueni hata ule waraka wa kamanda kutoka jela, unahitaji akili kubwa sana kujua ujumbe wake unawalenga kina nani hasa. Wengi wanafikiri na sisi wabongo wa kawaida huku mitaani, kumbe umelenge wale wanaoweza kuchukua hatua kututoa hapa tulipo.

Pia, bado najiuliza ni nani alishauri wafanye lile tukilo la kukusanya manoti kutoka kwa madoni huku wengine wakiwa na rekodi chafu kabisa. Mimi naona alieshauri alikuwa ni special agent akitimiza majukumu yake.

Sijuii mmenielewa?

Kama hamjanielewa, basi muda utawasaidia kuelewa.
 
Kila siku nimekuwa nikiwaza hivi kwasababu kuna maamuzi yakifanyika, ni lazima kuwe na justification ili dunia ielewe ni kwanini watu majasiri walifchukua maamuzi hayo.

Kanisa moja kubwa sana hapa nchini, wanajenga picha fulani, na kule Mahabusu yule Simba wa Yuda kashusha waraka wa kimkakati huku yule Askofu machachari nae akitema nyongo bila kusahau Nondo za Bwana Slow Slow.

Kwa kifupi, kuna jambo liinatengenezwa au linajitengeneza ila kwa ulevi wa madaraka, wahusika ama hawaoni au wanaona hatari inayokuja ila wanapuuza kwa ulevi tu wa madaraka.

Kote wanakofanyaga maamuzi magumu huwa kuna sababu japo Jumuiya za kimataifa na kikanda huwa zinajitokeza kupinga na kulaani.

Hata hivyo, sometimes hufanya hivyo kuzuga tu ikitokea watawala walikuwa wamejisahau kwa kutenda maovu dhidi ya ubinadamu bila kusahau watawala kujihusisha na wizi na ufisadi wa kupitilza katika nchi.

Hivyo, naamini jamaa wanaangalia tu kabla hawajasema sasa basi

Tambueni hata ule waraka wa kutoka jela unahitaji akili kubwa sana kujua ujumbe wake unawalenga kina nani hasa. Wengi wanafikiri na sisi wabongo kawaida, huku mitaani, kumbe umelenge wale wanaoweza kuchukua hatua kututoa hapa tulipo.

Sijuii mmenielewa?

Kama hamjanielewa, basi muda utawasaidia kuelewa.
Niliwaza hivo mimi pia ,cheki hata picha ya Lissu mahakamani ile rozali kaivaa mkononi, halafu kanisa linaangalia tu muumini anateswa hivi? Hapana! Kuna jambo laja!
 
Attachments

  • IMG_20250813_150706.jpg
    IMG_20250813_150706.jpg
    531.7 KB · Views: 24
Kutokana na mwenendo wa mambo, kila siku nimekuwa nikiwaza hivi kwasababu kuna maamuzi yakifanyika, ni lazima kwanza kuwe na justification ili dunia ielewe ni kwanini watu majasiri walifchukua maamuzi hayo magumu.

Kanisa moja kubwa sana hapa nchini, wanajenga picha fulani, na kule Mahabusu yule Simba wa Yuda kashusha waraka wa kimkakati huku yule Askofu machachari nae akitema nyongo bila kusahau Nondo za Bwana Slow Slow.

Kwa kifupi, kuna jambo liinatengenezwa au linajitengeneza ila kwa ulevi wa madaraka, wahusika ama hawaoni au wanaona ila wanapuuza kwa ulevi tu wa madaraka.

Kote wanakofanyaga maamuzi magumu, huwa kuna sababu japo Jumuiya za kimataifa na kikanda huwa zinajitokeza kupinga na kulaani. Hata hivyo, sometimes hufanya hivyo kuzuga tu ikitokea watawala walikuwa wamejisahau kwa kutenda maovu dhidi ya ubinadamu bila kusahau watawala kujihusisha na wizi na ufisadi wa kupitilza katika nchi.

Hivyo, naamini jamaa wanaangalia tu kabla hawajasema sasa basi

Tambueni hata ule waraka wa kutoka jela unahitaji akili kubwa sana kujua ujumbe wake unawalenga kina nani hasa. Wengi wanafikiri na sisi wabongo kawaida, huku mitaani, kumbe umelenge wale wanaoweza kuchukua hatua kututoa hapa tulipo.

Sijuii mmenielewa?

Kama hamjanielewa, basi muda utawasaidia kuelewa.
THE FALL OF CCM 1995-2025✍️📌
 
Kanisa moja kubwa sana hapa nchini, wanajenga picha fulani, na kule Mahabusu yule Simba wa Yuda kashusha waraka wa kimkakati huku yule Askofu machachari nae akitema nyongo bila kusahau Nondo za Bwana Slow Slow.
Kifupi ni kwamba kibibi akikaa sindano, akisimama sindano, akichuchumaa sindano na akilala sindano
 
Pia, bado najiuliza ni nani alishauri wafanye lile tukilo la kukusanya manoti kutoka kwa madoni huku wengine wakiwa na rekodi chafu kabisa. Mimi naona alieshauri alikuwa ni special agent akitimiza majukumu yake.
Binafsi naamini ni moja ya kosa kubwa sana la kimkakati walilofanya, kama ilikua ni ushauri wa mtu basi waliingia chaka , kama ni vile ulivyo sema mleta mada yaweza kuwa wameingizwa king!

Yote ya yote ngoja tuone yanayo kuja huwenda yakawa si haba.
 
Hili jambo lilihitaji commonsense tu kujua kuwa halikufaai kufanyika namna lilivyofanyika.

Akili sijui wamepeleka wapi?!

May be yote hayo ni mpango wa Mungu ili yatimie aliyoyapanga.
 
Embu tupe habari kwanza. Ni kweli mkulu wa tiss ameshang'ata pamba huko antana narivo?

Back
Top Bottom