sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Effective mitigation in progresskwa hiyo Uganda ugonjwa umeisha wote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Effective mitigation in progresskwa hiyo Uganda ugonjwa umeisha wote?
Nadhani huelewi maana ya dhambi inayoongelewa katika hilo andiko. Soma Biblia yako uielewe, kisha njoo usome post yangu unieleweMkuu watu wema wewe unawatambua? imeandikwa hakuna atendaye mema kwenye hii dunia, wote wametenda dhambi......sema rehema au tuseme neema inafanya kazi kwa baadhi ya watu..
Hahaha! Mkuu hiyo point inasemwa sana, kwamba ni Corona ni natural control measure kupunguza idadi ya watu na kurekebisha uhalibifu wa mazingira duniani ambao umefikia hatua mbaya (critical point)! Na wapo wanaodai ni suluhisho kupunguza umasikini katika nchi za Afrika!
Hizo uliztaja ni incidents ndogo sana, matukio ya kila siku. Tunaongea kitu kama Black fever, Spanish Flu, ambazo ziliua hadi watu wakawa wanaona kifo ni jambo la kawaida. Kwa mfano Spanish Flu, ilikuwa ndani ya nyumba yako mtu akifa unamweka mbele ya nyumba wazikaji wampitie kwenda kuzika. Hii Corona tunaona imeua lakini hadi sasa ni kama watu laki tano tu wamekufa dunia yote. Sasa fikiria Spanish Flu ndani ya miaka miwili iliua watu karibu milioni 25 duniani.The world has past thu alot, mara Sadam mara ghadafi hatujakaa vizuri mara lissu, mara miti, mara Pakistan mara kichanga kimetupwa Chooni, mara fulani kamgeuza mkewe kuni, mara tenki la mafuta kulipuka so the world has past thru alot, now it's time for her to heel, ozone layer na pollution zimepungue, msimu wa mvua ujao wengi watakufa mamtoni then Corona itakata
Na ni Tanzania pekee ilikuwa na vifo vingi. Wanakaribia watu 2000 waliokufa kwa korona!Ni Tanzania pekee tulioambiwa tuchape kazi.
WE SEE AND PREDICT THE FUTURE