Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,788
- 2,690
- Thread starter
- #41
Hilo ndio swali lakujiulizaViumbe gani wenye akili na utashi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ndio swali lakujiulizaViumbe gani wenye akili na utashi?
kwahiyo wewe mtazamo wako tu upishane kuwa mwanadamu aliumbwa na Mungu ...... ningekubaliana na mtazamo wako kama ungeniambia hao viumbe wenye utashiHilo ndio swali lakujiuliza
[emoji15] [emoji15] [emoji15] .Siwezi kuwa muislam hata Kwa kuota.
Ukristo wenyewe ulinishinda
ni kweli asome vizuri vitabu vya Mungu sehemu nyingi ametumia maneno hayo tumeumba tumeshusha tumeiipamba tulimtuma n.kmungu akisema "tulimuumba mwanadam"haina maana kwamba wako wengi isipokuwa anajipa ukubwa kwa wingi wake
Lipi andiko linalosema anajipa ukubwa Kwa wingi wake.mungu akisema "tulimuumba mwanadam"haina maana kwamba wako wengi isipokuwa anajipa ukubwa kwa wingi wake
Njaa kitu kibaya sanaSidhani kam umekula leo
Hapa ndipo utakapoona utatu mtakatifu( Trinity)umejiuliza swali sahihi mkuu ni sawa
lakini cornerstone ya point yako umeeleza Mungu alisema natuumbe mtu kwa mfano wetu
kwa uelewa wa maandiko Mungu aliposema natuumbe haimaniishi kwamba hakuwa peke yake
neno tuumbe=sisi laweza kutumika kuonyesha nguvu na mamlaka ya mtu japokuwa ni mmoja
kwa hiyo hata raisi anaweza kusema tunamfuta kazi bashite sababu ana vyeti feki
yawezekana yeye ndo kamfuta kazi lakini anaposema sisi tunamfuta ana maana ya mamlaka yake alonayo katika serikali
kwa hiyo Mungu aliposema tunaumba haimaanishi kuwa waumbaji walikuwa wengi
Kwa mujibu wa kitabu gani haya?Inawezekana.maana binadamu ndo kiumbe wa mwisho kuumbwa.mungu alishaumba vitu vyoote.wanyama,mimea,majini,miti,n.k.
Na wakati mungu anamuumba adam kwa udongo.ibilisi alikuwa anamuona adam akiwa amelala.akawa anamchezea kama mdoli.alipopuliziwa adam roho na kuwa kiumbe kamili.mungu akawaambia malaika na viumbe vilivyopo mbinguni wamtukuze adam.ibilisi akakataa.ndipo akalaanika.
Ulikuwa hujijui kabla ya kuzaliwa Leo kwa ajil ya kaelimu kako et unamkosoa mungu,ila jeur yako itaisha ucku wa kwanza kaburin ucjaliAhsante Kwa Kutupa Aya.
Hata Mimi naamini kila kitu kiliumbwa Kwa amri ya mwenyezi Mungu. Lakini kuna vilivyoumbwa na viumbe wenye akili na utashi mkubwa walioumbwa na Mungu. Ni kama vile binadamu anavyounda gari na Marobot lakini anatumia akili aliyoikuta.
Huenda binadamu naye aliumbwa hivyo hivyo
Quran karimKwa mujibu wa kitabu gani haya?
Mkuu binaadamu alitengeneza magari na vitu vingine ili kujiongezea kipato kwaiyo hao unao wafikiria labda kuna faida wanapata kutokana na uwepo wetu au tukijamba mkuu tunawapa product ya biogas!!!!!Ahsante Kwa Kutupa Aya.
Hata Mimi naamini kila kitu kiliumbwa Kwa amri ya mwenyezi Mungu. Lakini kuna vilivyoumbwa na viumbe wenye akili na utashi mkubwa walioumbwa na Mungu. Ni kama vile binadamu anavyounda gari na Marobot lakini anatumia akili aliyoikuta.
Huenda binadamu naye aliumbwa hivyo hivyo
Atapataje majibu wakati kashakufa sasa.acha ubashiteSubiri Ukifa Utapata Majibu
Acha matusi jenga hojaP.U.M.B.A kwa imani yang
Mmoja ni Mungu na mmoja ni malaika.Wejamaa unakaribia kuchanganyikiwa, unaamini Malaika aliumba ila siyo Mungu sasa Mungu ninani na malaika ni nani?