MTAZAMO: Mwanadamu hakuumbwa na Mungu.

AKILI ZA MUNGU HAZICHUNGUZIKI!!!

NA KIWANGO CHA BINADAM CHA MWISHO CHA MAARIFA AMBACHO NDICHO KINAIPA FAHARI DUNIA HII KWA MUNGU NI UJINGA!!!

UTAFUTENI UFALME WA MBINGUNI MAANA SAA YA KUREJEA KWAKE IMEKARIBIA, MCHENI NA KUMTUKUZA MAANA YEYE NI MUNGU!!!

Ikiwa kuna mmoja miongoni mwa binadam haamini basi na atende yale yaliyo mema machoni pake mwenyewe!
Ila akumbuke, siku inakuja kila goti litapigwa na kila kinywa kinakili kuwa yeye ni MUNGU.
 
mungu akisema "tulimuumba mwanadam"haina maana kwamba wako wengi isipokuwa anajipa ukubwa kwa wingi wake
 
mungu akisema "tulimuumba mwanadam"haina maana kwamba wako wengi isipokuwa anajipa ukubwa kwa wingi wake
ni kweli asome vizuri vitabu vya Mungu sehemu nyingi ametumia maneno hayo tumeumba tumeshusha tumeiipamba tulimtuma n.k
hata katika kiingereza pronoun 'WE' yaweza kutumiwa na mtu mmoja badala ya "I' ili kuonyesha nguvu ya mtu, ikiwa mtu huyo ana mamlaka ama nguvu fulani kv malkia mfalme n.k
 
najua mtoa mada wewe sio mjinga mpaka umeandika hv... kuna uliyoyaona... nimesoma na kama great thinker na scientist acha nisitie kwanza neno lolote... nipo kufatilia.. halaf nitarudi..!!!!
 
mungu akisema "tulimuumba mwanadam"haina maana kwamba wako wengi isipokuwa anajipa ukubwa kwa wingi wake
Lipi andiko linalosema anajipa ukubwa Kwa wingi wake.

Au unaongeza maneno
 
Hapa ndipo utakapoona utatu mtakatifu( Trinity)
 
Kwa mujibu wa kitabu gani haya?
 
Ulikuwa hujijui kabla ya kuzaliwa Leo kwa ajil ya kaelimu kako et unamkosoa mungu,ila jeur yako itaisha ucku wa kwanza kaburin ucjali
 
Kwa haya Maandko mnayoyaleta ya kutokuwa na Imani na Mungu aliye Hai nia yenu ni OVU tu. Mnataka Tuamini Mungu Hayupo. Mshindwe na Mpotee.
 
Mkuu binaadamu alitengeneza magari na vitu vingine ili kujiongezea kipato kwaiyo hao unao wafikiria labda kuna faida wanapata kutokana na uwepo wetu au tukijamba mkuu tunawapa product ya biogas!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…