princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Minakupenda wewemimi naipenda ile ya jay moe, jafarai
sijui na nani MSELA SIO MCHAFU, MSELA NI MSAFI, MSELA MTANASHATI ANAENDA NA WAKATI..!
pia WE NDO MCHZI WANGU REMIX
MdumangeSasa hivi unaitwaje mzee
hahahaMinakupenda wewe
Tuyajenge basi collable yetu iwe kali kushinda hii mtazamo inayosifiwa hapa.hahaha
Asante prof Jay, majani na ulamao mmegusa napopataka /Kama ushawai isikia hii ngoma unaweza ukakubaliana na mm kuwa hii ngoma ni moja ya collable bora kabisa kuwahi kufanyika apa bongo
Hapa solo sang pale prof na katikati mfalme wa rhymes afende sele, hawa jamaa waliumiza vichwa sana wakat wanatengeneza hii ngoma sijawai kuichoka
Kwenye wimbo wa "Simu Yangu" Prof Jay hakuwepo. Walioshirikiana ni Solo Thang, Jay Mo na Soggy1. wagosi wa kaya all song
2. uswahilini matola pengo
3.mangwear mikasi
4. mangwear ft jmo kimya kimya
5. ferooz ft pjay starehe
6. ngwear ft dark master she got gwan
7. solo thang ft profesa ,afande simu yangu
8. afande sele ft pjay,solo thang mtazamo
9. profesa jay ft qchila msinitenge
10. profesa jay ft juma nature ndio mzee
Hii nayo kiboko.Naona na zeeka sasa prof Jay Sugu mwana FA
Hii ngoma kila mtu alikua na asira na kila mtu alionyesha ukongwe ukitaka kujua umuhimu wa makalio kalia kichwa prof Jay Sugu anakwambia kuna watu wako juu kama mbalamwezi na nyota na maisha wanayoishi utabaki kuyaota mwana FA kenge wanachafua maji wanakijiji wasiyaoge na kuwajibu itakuangumuHii nayo kiboko.
3 hiyo balaa Fanya kunirushia hapa 06768936991. mtazamo...afande ft prof jay and solo thang
2. Kimya kimya...jay mo ft mangwair
3. Mimi...geez mabov ft jay mo, fid q and chid benz
4. Mchizi wangu remix...nako2nako ft wasanii kibao wa hip hop
5. hisia..nikki mbishi ft one and suma mnazareti
Hizi ndo kolabo tano ambazo nazikubali sana
Yap n moja ya collabo Kali piaCollabo kali na ya kimtaa ni wewe ndio mchizi wangu remix
Mzee wa MsufiniAsante prof Jay, majani na ulamao mmegusa napopataka /
Nami kwenye mtazamo na jambo nataka kuweka /
Mana kila kunapokucha mc's wanaongezeka/
Nasema very nice, yes rap kama dhehebu mc's kama wafuasi /
Wingi wa wasanii inaonyesha ni dini safi/
Yaani imekubalika waumini tuko wengi lakini bado nashaka sijapata uhakika/
...........
Dah! Mwacheni mfalme aitwe mfalme jitu pori simba zee lenye meno makali and Big shoutout kwa vichwa vikali vyote vilivyohusika kwenye ile ngoma!
Huu ndo wangu mtazamo masela msijenge chuki! [emoji28]
n Kali piaOne the incredible ft chidbenz ft izzo b ft stereo - one the incredible
namba 1 sitii neno hapoKuna hizi kolabo naona zimesahauliwa
1. Fid Q, Langa na Prof.Jay-Ni hayo tu
2. Kolabo nyingine inaitwa chagua moja yupo Fid Q, marehem Langa, TID, Black Rhino, na wengine nimewasahau
3. Dhahabu-Duly Sykes, Blue na Joslin
hio kimya kimya mpaka Leo najiulizaga ile beat ilikujaje Maana ni binge Moja ya beat1. wagosi wa kaya all song
2. uswahilini matola pengo
3.mangwear mikasi
4. mangwear ft jmo kimya kimya
5. ferooz ft pjay starehe
6. ngwear ft dark master she got gwan
7. solo thang ft profesa ,afande simu yangu
8. afande sele ft pjay,solo thang mtazamo
9. profesa jay ft qchila msinitenge
10. profesa jay ft juma nature ndio mzee