Mtazamo ndio kolabo bora kuwahi kutokea tokea bongo flava ianze

Mtazamo ndio kolabo bora kuwahi kutokea tokea bongo flava ianze

mimi naipenda ile ya jay moe, jafarai
sijui na nani MSELA SIO MCHAFU, MSELA NI MSAFI, MSELA MTANASHATI ANAENDA NA WAKATI..!

pia WE NDO MCHZI WANGU REMIX
 
Kama ushawai isikia hii ngoma unaweza ukakubaliana na mm kuwa hii ngoma ni moja ya collable bora kabisa kuwahi kufanyika apa bongo

Hapa solo sang pale prof na katikati mfalme wa rhymes afende sele, hawa jamaa waliumiza vichwa sana wakat wanatengeneza hii ngoma sijawai kuichoka
Asante prof Jay, majani na ulamao mmegusa napopataka /
Nami kwenye mtazamo na jambo nataka kuweka /
Mana kila kunapokucha mc's wanaongezeka/
Nasema very nice, yes rap kama dhehebu mc's kama wafuasi /
Wingi wa wasanii inaonyesha ni dini safi/
Yaani imekubalika waumini tuko wengi lakini bado nashaka sijapata uhakika/
...........
Dah! Mwacheni mfalme aitwe mfalme jitu pori simba zee lenye meno makali and Big shoutout kwa vichwa vikali vyote vilivyohusika kwenye ile ngoma!

Huu ndo wangu mtazamo masela msijenge chuki! [emoji28]
 
1. wagosi wa kaya all song

2. uswahilini matola pengo

3.mangwear mikasi

4. mangwear ft jmo kimya kimya

5. ferooz ft pjay starehe

6. ngwear ft dark master she got gwan

7. solo thang ft profesa ,afande simu yangu

8. afande sele ft pjay,solo thang mtazamo

9. profesa jay ft qchila msinitenge

10. profesa jay ft juma nature ndio mzee
Kwenye wimbo wa "Simu Yangu" Prof Jay hakuwepo. Walioshirikiana ni Solo Thang, Jay Mo na Soggy
 
Hii nayo kiboko.
Hii ngoma kila mtu alikua na asira na kila mtu alionyesha ukongwe ukitaka kujua umuhimu wa makalio kalia kichwa prof Jay Sugu anakwambia kuna watu wako juu kama mbalamwezi na nyota na maisha wanayoishi utabaki kuyaota mwana FA kenge wanachafua maji wanakijiji wasiyaoge na kuwajibu itakuangumu
 
Mtazamo
Tathmini JMOE & PROF J
Bosi
Pengo
Kamanda
Kamua
Dira (kikosi)
Kimbia
ECTeam ( ile na maandagraund wao.
Kigetogeto
Blue &JD
UKISIKIA PAA
SISTER SISTER
ZALI LA MENTALI
HAWATUWEZI
SIMU - SOLO WAGOSI, ETC
MAKAMUA& ENIKA (BABY PLEASE...)

SITOBADILIKA- MNYALU

NDIYO MZEE

BUSH PARTY

RADHIA

LEO ECT

NIAJE DOJO AND JAYA
 
Kuna hizi kolabo naona zimesahauliwa
1. Fid Q, Langa na Prof.Jay-Ni hayo tu
2. Kolabo nyingine inaitwa chagua moja yupo Fid Q, marehem Langa, TID, Black Rhino, na wengine nimewasahau
3. Dhahabu-Duly Sykes, Blue na Joslin
 
1. mtazamo...afande ft prof jay and solo thang
2. Kimya kimya...jay mo ft mangwair
3. Mimi...geez mabov ft jay mo, fid q and chid benz
4. Mchizi wangu remix...nako2nako ft wasanii kibao wa hip hop
5. hisia..nikki mbishi ft one and suma mnazareti

Hizi ndo kolabo tano ambazo nazikubali sana
3 hiyo balaa Fanya kunirushia hapa 0676893699
 
Asante prof Jay, majani na ulamao mmegusa napopataka /
Nami kwenye mtazamo na jambo nataka kuweka /
Mana kila kunapokucha mc's wanaongezeka/
Nasema very nice, yes rap kama dhehebu mc's kama wafuasi /
Wingi wa wasanii inaonyesha ni dini safi/
Yaani imekubalika waumini tuko wengi lakini bado nashaka sijapata uhakika/
...........
Dah! Mwacheni mfalme aitwe mfalme jitu pori simba zee lenye meno makali and Big shoutout kwa vichwa vikali vyote vilivyohusika kwenye ile ngoma!

Huu ndo wangu mtazamo masela msijenge chuki! [emoji28]
Mzee wa Msufini
 
Kuna hizi kolabo naona zimesahauliwa
1. Fid Q, Langa na Prof.Jay-Ni hayo tu
2. Kolabo nyingine inaitwa chagua moja yupo Fid Q, marehem Langa, TID, Black Rhino, na wengine nimewasahau
3. Dhahabu-Duly Sykes, Blue na Joslin
namba 1 sitii neno hapo
 
mtoa mada leo umeongea kidali tupu. yan balaa
yoo hakuna s bla o
ukinicheka shambani nakukucheka sokoni
nani achunwe ngozi
 
1. wagosi wa kaya all song

2. uswahilini matola pengo

3.mangwear mikasi

4. mangwear ft jmo kimya kimya

5. ferooz ft pjay starehe

6. ngwear ft dark master she got gwan

7. solo thang ft profesa ,afande simu yangu

8. afande sele ft pjay,solo thang mtazamo

9. profesa jay ft qchila msinitenge

10. profesa jay ft juma nature ndio mzee
hio kimya kimya mpaka Leo najiulizaga ile beat ilikujaje Maana ni binge Moja ya beat
 
Back
Top Bottom